ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Toyota ni usafiri wa kutoka sehemu A kwenda B,ila bmw,benzi ni zaidi ya usafiri you feel good ukiendesha.Kitu chochote kizuri kina gharama kukimiliki na kukitunza! Mfano: mke mzuri, nyumba nzuri, shule nzuri, kuishi mitaa mizuri, n.k. Mimi pamoja na gharama ya kuzumiliki hizi gari najisikia comfortable nikiwa barabarani kila mtu anapay attention na nikienda mahali nikapaki atakaye kuja kupaki karibu yangu lazima apaki kwa adabu na kuniachia nafasi ya kutosha nikitaka kutoka. Huwezi kuta mtu kapaki BMW/Benz alafu mtu akaja kupaki nyuma yako!
Bmw unaweza ukawa bored tu ukaamua kuliwasha gari lako na kuzurura na ukaskia raha sana.
Kama pesa unayo ni magari matamu sana and its worth it