Wamiliki wa BMW Shikamooni

Wamiliki wa BMW Shikamooni

*TANGAZO* .

kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari *BMW white namba T223 DPU*

Majina
1. Mohammed Laseko(CRDB)
2. Dorine Mitimingi(CRDB)
3. Ainess

Walikuwa wanatokea kwenye Kili Marathon.
Gari yao imegonga treni hapa Mombo, na gari imeharikiba sana. Vitu vyao vimepotea watakuwa hawapatikani kwa simu.Wamevunjika miguu,
Wamepelekwa hospital. Dereva yupo chini ya ulinzi.

Mwenye ndugu mfike Mombo polisi.
IMG-20200302-WA0052.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr. Hapa sasa utakuwa unapotosha.

Gari zote duniani zina kitu kinaitwa crashworthness rating.

Gari yenye high rating ambayo ni 5 star ina safety kubwa kuliko gari ya 1 star.

Hata gari zingine zipo ambazo zina 5 star rating...

Kwa hiyo wangeweza kuwa kwenye gari nyingine yoyote na bado wakasalimika.

You can just imagine kama isingekuwa BMW

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom