Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
- #181
Dah! Mkuu usiichanganye Crown na Vitz tafadhali
Amezitukanisha eh😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Mkuu usiichanganye Crown na Vitz tafadhali
Mkuu mbona hii ni gari ya kawaida saana? Hata wewe unaeza imiliki kwa Mil 14-20 unapata huyu mnyama.!
Heshima kwenu....
Ukikutana na mmiliki wa BMW series yoyote ile ni vyema ukamheshimu tu kujipunguzia machungu ya ukali wa maisha!
Huo Mguu hapo mezani wa nani?
Hongereni!
Nlishaacha mbona.... tangu siku nilivopiga usingizi ktk ukumbi wa interview..... sijarudia tenaSlim bangi sio nzuri ujue😅....
Jamani hii so haki sisi tusiokuwa na hata baiskeli tufanyeje jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🙌Nlishaacha mbona.... tangu siku nilivopiga usingizi ktk ukumbi wa interview..... sijarudia tena
Huu sasa Uchokozi Mkuu.Niko na Vuzt kangu kazuri tu, nikiishiwa mafuta naenda kituo cha mafuta na handkerchief naigusisha kwenye pump nakkuja kuweka kwenye tank juu pale natembea zangu 15-20km
Range Lover utakuwa wa kwanza kuwa na hilo gari naona.my dream car is a range lover
full stop.
Nipe pole.... nilifanya kituko ktk interview.... wakantimua🤣🤣🙌
You can just imagine kama isingekuwa BMW
Jr[emoji769]
Inatumia muda gani umeme. Acha uongo.Audi haili sana mafuta, kuna wakati inatumia umeme ,mafuta sio sana.....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
SanaaaAmezitukanisha eh😅
Kwa hiyo unathibitisha kwamba kijana mdogo hawezi kuimiliki Benz sio ?.