Wamiliki wa BMW Shikamooni

Wamiliki wa BMW Shikamooni

Kuna siku nilikuwa na dereva wa ofisini tunatoka sheli flani ipo Njiro sie tumo kwenye Rav 4 pembeni ipo X5 wote wanabaniana kuingia road, ikabidi nimwambie dereva wetu we emu ona aibu basi acha GARI ipite [emoji3][emoji3]
Nimecheka Hadi naumwa lol, mbavu zangu uwiiiiiiiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nilibishana na jamaa kwenye uzi mmoja siukumbuki, nikamwambia unaweza kununua gari cheap ila ndani ya miaka mi 3 - 4, ukajikuta umenunua hiyo gari mara 2 au 3 kwa gharama za service, spare parts n.k

Nimetumia hela sana kwenye magari, ila haitatokea tenaaa
Huwa tunawaangalia tu wanaosema bei yake ni milioni kadhaa tu. Kununua na kuihudumia ni mbingu na ardhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nitajaribu kuchukua BMW X6 nione maana gari nayotumia sasahivi sana ni Range Discover napenda gari zinazobinuka kalio nyuma nitacheki mwezi wa sita nichukue X6 niteat.

Portfolio | 2020

Portfolio | 2020
Vyuma vimekaza hivi afu naona caption hii wallah kuna watu Wana hela lol, nmeshituka mnooooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mombo hiyo walikuwa wanatoka kili marathon Moshi!View attachment 1374922
IMG-20200302-WA0003.jpeg
IMG-20200302-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rating hiyo unajuaje? Kuja sehemu imaendikwa
Mshana Jr. Hapa sasa utakuwa unapotosha.

Gari zote duniani zina kitu kinaitwa crashworthness rating.

Gari yenye high rating ambayo ni 5 star ina safety kubwa kuliko gari ya 1 star.

Hata gari zingine zipo ambazo zina 5 star rating...

Kwa hiyo wangeweza kuwa kwenye gari nyingine yoyote na bado wakasalimika.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nchi ukienda hizi unazoziita third world haya magari yapo kibao na wala sio ishu maana hata mwalimu anayeanza kazi mwaka jana anamiliki.

Unaona hapa Dar unapohesabu magari tofauti na Toyota nchi zingine za third world Toyata ndiyo unazihesabu.

Mkuu

Sio unatoa generic claim tu as if upo sahihi kumbe si kweli!

Toa jina na hiyo nchi na jedwali la statistic kuonesha hayo unayodai!

Hii kuongea kwa generic claims ni rahisi mno!

First World countries disposable income ni kubwa,uwezo wa kununua high end cars ni mkubwa zaidi ya Third World countries..

Unachokiongea ni hisia zako tu na huna takwimu mujarabu uka-copy na ku-paste hapa vividly!
 
Mkuu

Sio unatoa generic claim tu as if upo sahihi kumbe si kweli!

Toa jina na hiyo nchi na jedwali la statistic kuonesha hayo unayodai!

Hii kuongea kwa generic claims ni rahisi mno!

First World countries disposable income ni kubwa,uwezo wa kununua high end cars ni mkubwa zaidi ya Third World countries..

Unachokiongea ni hisia zako tu na huna takwimu mujarabu uka-copy na ku-paste hapa vividly!

Haya kaka tembea uone.
 
Back
Top Bottom