Wamiliki wa BMW Shikamooni

Wamiliki wa BMW Shikamooni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kwanini wanaturusha roho wenzao khaaaaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app

🤣🤣🤣kama huna hela huenda ikawa ni ww tu mkuu, 🤣🤣..hii ndinga niliyoe desha ni ya 'ke!..hajahongwa...ni mtafutaji balaa...tembea uone😇
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama huna hela huenda ikawa ni ww tu mkuu, [emoji1787][emoji1787]..hii ndinga niliyoe desha ni ya 'ke!..hajahongwa...ni mtafutaji balaa...tembea uone[emoji56]
Uwiiiiiiiiih madame taratibu mwayaaaah ndo me nipo kwenye utafutaji ili baadae niweze kuwa na sample hizoooh lol Damon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 subaru??? Hata BMX sina
Usijali name ilikuwa jokes kidogo lakini pia hii issue ya gari flani inakula mafuta nyingine haili mafuta kiukweli ni kupambana tu kama ukiona una vyanzo vizuri vya mapato sio salary ya kulipwa tarehe 35 inabidi ununue gari ya choice yako.

Mie gari hata navyoweka mafuta huwa naiwekea bajeti ya lita 1 kilometer 7 hivyo nikiweka lita 5 ikifika kilometre 35 mpaka 40 naweka mengine japokuwa kwa mazingira ya kawaida gari inakula lita 1 kwa kilometre 9 mpaka 11 kwa mizunguuko ya mjini
 
Kuweka mafuta kidg kidg inaumiza sana.. Bora ujaze full tank ufumbe macho!
 
Mkuu yani mimi siwezi nunua zile zilizofanania na corolla aisee [emoji23] [emoji23]
Sijui kwanini hii BMW naona kama tax tu...labda ile iliyobinuka nyuma kama ya Diamond platinum na wengi wenye pesa siwaoi wakinunua aina nyengine tofauti na ile ila hizi zingine sijui X5, 3 nk kama tax tu.

Portfolio | 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio kuumiliki,tatizo kuuweka barabarani kila siku,wanasema kuwa namba moja si tatizo,tatizo kubaki namba moja,hiyo kitu ikianza kuwasha zile taa za faults utashangaa kuzi clear hela ya passo inakutoka,salute kwenu wenye hizo gari barabarani na mfungao vioo!!!!.

Hamna hicho kitu, shida ya sisi wabongo tuna jinamizi la fear of unknown, yaani kunasumba za kipumbavu.

Kwa mfano IST zimejaa TZ kwa Sababu ya kasumba eti gari imara sijui haili mafuta, kwahiyo kila mtu ni IST. Haili mafuta unataka ile maji! Gari imara unataka kuzeeka nayo ? Haya ni mawazo hovyo kabisa.

Now naambiwa kuna kasumba imeshaingia ya Subaru hizi Kama Rav 4 , now kila mtu ni hiyo tu. Huu ni uoga usiojulikana.

Utakuta mtu anakwambia BMW ni expensive to maintain, Halafu huyo mtu hajawahi kumiliki BMW in his entire life, just hear say! Yaani huwa nabaki what [emoji15].

Mwaka wa 3 sasa huu naendesha BMW X6 ya mwaka 2011 gari haijawahi kunipa shida yoyote na ninaitumia kila siku kwa shughul zangu za kikazi. Ni my routine car yaani I drive it everyday everywhere for 3 years.

sasa mimi huwa i don’t understand wabongo wakisema BMW this BMW that.

Currently namuagizia my wife BMW X3 ,
IMG_1383.JPG
Ina maana Kama zingekuwa na shida nisingeweza fanya hayo.

Guys tupunguze hearsay, mnajicheleweshea sana maisha.

There is nothing you can do with Toyota zaid ya kukanyaga mafuta, kuwasha AC, kuwasha Radio, kupandisha na kushusha vioo na kukanya brake. Kubwa zaid utasumbua ukienda kijijini kwenu

BMW you enjoy the interior design, features, comfortably, security pamoja na mfumo wa kukupunguzia Wewe kuvuta gas chafu itokayo Kwenye petrol na carbon monoxide.

Hayo mabrevis brevis, ma vitz vitz, ma crown crown nikujitafutia magonjwa ya kudumu tu na hata ukipata ajali serious huwezi kupona maana hizo ni bati tu.

People mnajichelewesha na unknown fear, wacheni uzembe Unless kweli Huna uwezo otherwise ........
 
Heshima kwa wamiliki wote wa European Cars.
Kununua sio tatizo, kuhudumia hizi gari ndio utata wamatumbi wengi tunapenda kitonga kama unategemea spea za Ilala au Tandale, mafuta ya kidebe, gereji ufanye service fundi umpe 5000 haya magari utayachukia.
 
Usijali name ilikuwa jokes kidogo lakini pia hii issue ya gari flani inakula mafuta nyingine haili mafuta kiukweli ni kupambana tu kama ukiona una vyanzo vizuri vya mapato sio salary ya kulipwa tarehe 35 inabidi ununue gari ya choice yako.

Mie gari hata navyoweka mafuta huwa naiwekea bajeti ya lita 1 kilometer 7 hivyo nikiweka lita 5 ikifika kilometre 35 mpaka 40 naweka mengine japokuwa kwa mazingira ya kawaida gari inakula lita 1 kwa kilometre 9 mpaka 11 kwa mizunguuko ya mjini
Worry out!mkuu
 
Back
Top Bottom