Wamiliki wa BMW Shikamooni

Wamiliki wa BMW Shikamooni

[emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]dadeq watu wenye vipaso na vi ist na vi spacial and the likes asee mnaboa mkiwa lami yaan sio poa yan kdogo tu hujakaa vzur unaona lupasso huloo lumechomekea, ile unalukwepa unakuta luvitz nalo kulia lumeshasogeza pua yake yaan fujo fujoni.
Tena tulitamani funguo ziwe kubwa tuzivae shingoni kabisa basi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilikuwa na dereva wa ofisini tunatoka sheli flani ipo Njiro sie tumo kwenye Rav 4 pembeni ipo X5 wote wanabaniana kuingia road, ikabidi nimwambie dereva wetu we emu ona aibu basi acha GARI ipite [emoji3][emoji3]
Ninayo rav4 diesel auto 2012 uk spec
Speed 240 ,European car hawakuachi mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]dadeq watu wenye vipaso na vi ist na vi spacial and the likes asee mnaboa mkiwa lami yaan sio poa yan kdogo tu hujakaa vzur unaona lupasso huloo lumechomekea, ile unalukwepa unakuta luvitz nalo kulia lumeshasogeza pua yake yaan fujo fujoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tugari tudogo honi inapigwa na tumbo.
 
akat wale wenzangu wa ist spark plug ya 40k tu unapark gari daah[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mku haya magari kuna mengine spear mpaka uweke order kiwandani,kama ukikosa mtumba(used),

Ndo maana uki li over take ama kupishana nalo pita mbali nalo bwana yanini kutafta taabu na ma bm na ma range ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kulinunua ni rahisi sana ila runing cost zake si mchezo kabisa. Kila kitu chake ni ghali sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ghali lakini haziharibiki mara kwa mara, tatizo wengi tunazipeleka hizi gari kwa mafundi wa magari ya japani, lazima ulie.

Kuna mafundi wa chache wamebobea na kuspesialize kwenye magari ya ulaya, hautajuta.

Kuna kipindi gari ilinifanya niichukuie na nilikata tamaa kabisa, kuna mafundi wako pale nyuma ya Best Bite walinirudishia imani na matumaini yaliyofifia.
Tatizo lingine hasa kwa hii 3i series ziko chini na zinasukuma kwa nyuma, hii kukwama rahisi sana. Au kwenye matuta makubwa lazima ikwaruze japo kuna guide ya kufunika chini lakini inapunguza utulivu wa akili ukiwa kwenye gari kwa kukwaruza chini.
 
BMW uzuri wake uimara na kutulia barabarani lakini hazina finishing ya kuvutia, hata ndani ukianzia dashboard, viti na maeneo mengine hazikamatiii brevis...

Ila ukiwa unaiendesha inavyotulia kwa barabara na ile kuchanganya mwendo upesi ndio mzuka wenyewe.

Hii ni kwa uzoefu wangu wa 320i
Brevis ile Benz la mjapani 😀
 
Sijui kwanini hii BMW naona kama tax tu...labda ile iliyobinuka nyuma kama ya Diamond platinum na wengi wenye pesa siwaoi wakinunua aina nyengine tofauti na ile ila hizi zingine sijui X5, 3 nk kama tax tu.

Portfolio | 2020

Naona umezungumzia taxi cab.

Ushawahi kufika Ujerumani?

Magari mengi yanayotumika kama taxi Ujerumani ni Mercedes [mostly E-class] na BMW 😄.

Wahenga walisema tembea ujionee!!

Hakika kutembea [kwa maana ya kusafiri sehemu mbalimbali duniani], unajifunza mengi sana.

Wengine wanaona gari fulani ni la kifahari [bila kujalisha model] huku wengine wakiyatumia hayo magari ya ‘kifahari’ kupigia kazi.

Habari ndo hiyo. Ukienda Ujerumani ukikodi taxi waweza panda Benzi au Bimmer 😄.

BMW ni gari ambalo linaweza kuwa considered ni ‘luxury’ lakini siyo ‘exclusive’.

Na ndiyo maana ukienda kwenye nchi zilizoendelea barabarani utayaona yako mengi tu kama vile ambavyo Toyota IST zilivyo nyingi Dar.

Kwa hiyo hujakosea sana unavyoyaona hayo magari kuwa ni kama taxi.

Ujerumani hayo magari hutumika kikweli kama taxi.

Naona umezungumzia taxi cab.

Ushawahi kufika Ujerumani?

Magari mengi yanayotumika kama taxi Ujerumani ni Mercedes [mostly E-class] na BMW [emoji1].

Wahenga walisema tembea ujionee!!

Hakika kutembea [kwa maana ya kusafiri sehemu mbalimbali duniani], unajifunza mengi sana.

Wengine wanaona gari fulani ni la kifahari [bila kujalisha model] huku wengine wakiyatumia hayo magari ya ‘kifahari’ kupigia kazi.

Habari ndo hiyo. Ukienda Ujerumani ukikodi taxi waweza panda Benzi au Bimmer [emoji1].

BMW ni gari ambalo linaweza kuwa considered ni ‘luxury’ lakini siyo ‘exclusive’.

Na ndiyo maana ukienda kwenye nchi zilizoendelea barabarani utayaona yako mengi tu kama vile ambavyo Toyota IST zilivyo nyingi Dar.

Kwa hiyo hujakosea sana unavyoyaona hayo magari kuwa ni kama taxi.

Ujerumani hayo magari hutumika kikweli kama taxi.

Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom