Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
-
- #21
Nilipewaga Audi A4 na bi mkubwa, mpaka leo nikisema nanua gari I will go German. Mjerumani aheshimiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kwenu....
Ukikutana na mmiliki wa BMW series yoyote ile ni vyema ukamheshimu tu kujipunguzia machungu ya ukali wa maisha!
Hongereni!
Sasa wenye passo taambia nini watu[emoji23][emoji23]
Sasa wenye passo taambia nini watu[emoji23][emoji23]
Tena tulitamani funguo ziwe kubwa tuzivae shingoni kabisa basi tu.
πππππππTena tulitamani funguo ziwe kubwa tuzivae shingoni kabisa basi tu.
Kuna siku nilikuwa na dereva wa ofisini tunatoka sheli flani ipo Njiro sie tumo kwenye Rav 4 pembeni ipo X5 wote wanabaniana kuingia road, ikabidi nimwambie dereva wetu we emu ona aibu basi acha GARI ipite ππ
π€£π€£π€£π€£ kumbe umeendesha?!! Aisee hongera...nilipewaga lift kwenye Mercedes Benz bana bana, mapicha picha yakaanzia kwenye kufungua mlango tuπ€£π€£π€£π€£π€£...hahhjaa watz ni kwikwi...mie nimeendesha hapa naona nitasumbuka na ndoto kwa mwezi mzima...! Jamani Mungu atupe pumzi .dadek
Na wewe unamiliki? Hongera mkuu.Karibu mkuu!
Ulidhan yanguπ€£π€£! Nimeosha nayo tu ..limenipendezaa...mweπ€£π€£π€£π€£ kumbe umeendesha?!! Aisee hongera...nilipewaga lift kwenye Mercedes Benz bana bana, mapicha picha yakaanzia kwenye kufungua mlango tu