new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
Bongo wanapenda namba na si gari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaopenda magari wote wanaagiza Japan, Singapore, UK au kununua showroom...waliobaki wengine wote ni wapenda namba...Bongo wanapenda namba na si gari
Is that possible kubadili?and bytha labda ubadili na kuuza lakini kama unalitumia mwenyewe basi ni namna nyingine ya kujiongopeaKuwa na Plate number E ni dili, unaenda TRA Unarequest kubadili namba ya Gari
Over
Mkuu tumia 0773411415 boss
Pole, Uliwapatia kwa mfumo wa cash, hundi, Direct transfer au direct deposit?Habari wakuu,
Kuna hawa waagiza magari wanaitwa HEDGARS MOTORS niliwapatia pesa ya kuniagizia gari tangu Mwezi wa sita, Ilipofika mwezi wa saba mmiliki wa hiyo ofisi (HEDGAR MSUYA) alipotea hewani na kutokupatikana tena na ofisi wakafunga mpaka hivi sasa bila ya kutoa taarifa zozote kuhusu hela zetu alizochukua kutuagizia magari. Naomba msaada kama kuna yeyote aliye na updates zozote za hii ofisi, au mwenye changamoto kama yangu na hii ofisi. Napokea ushauri kuhusu namna ya kufanya kuhusu hii case.
Tafuta pesa ununue gari number ENamba D? Namba E? Hivi kweli nchi hii ina vilaza wa kutupwa? Toka lini hizo herufi E na D zikawa namba? Ulisoma shule ya St Kayumba ya tarafa na kata gani? Ufaulu wako wa masomo ulikuwaje?