Wamiliki wa gari namba D tupeane ushirikiano

255683744375_status_6c9869dc57e44d57b2ffc6810f28706c.jpg

Habari wakuu,
Kuna hawa waagiza magari wanaitwa HEDGARS MOTORS niliwapatia pesa ya kuniagizia gari tangu Mwezi wa sita, Ilipofika mwezi wa saba mmiliki wa hiyo ofisi (HEDGAR MSUYA) alipotea hewani na kutokupatikana tena na ofisi wakafunga mpaka hivi sasa bila ya kutoa taarifa zozote kuhusu hela zetu alizochukua kutuagizia magari. Naomba msaada kama kuna yeyote aliye na updates zozote za hii ofisi, au mwenye changamoto kama yangu na hii ofisi. Napokea ushauri kuhusu namna ya kufanya kuhusu hii case.
 
Pole, Uliwapatia kwa mfumo wa cash, hundi, Direct transfer au direct deposit?

Kama ni cash tatizo lako ni kubwa somehow sababu huna pa kuanzia. Ila kama ni njia nyingine tofauti basi hatua ya kwanza ni kupata RB, as long as wapo Tanzania, watapatikana tu na utapata fedha zako.
 
Namba D? Namba E? Hivi kweli nchi hii ina vilaza wa kutupwa? Toka lini hizo herufi E na D zikawa namba? Ulisoma shule ya St Kayumba ya tarafa na kata gani? Ufaulu wako wa masomo ulikuwaje?
Tafuta pesa ununue gari number E
 
Back
Top Bottom