Wamiliki wa lodge kuweni serious

Duh [emoji849][emoji849] wew utakuw umeend kukagua lodge


Mimi hizo lodge tatzo langu kubwa ni wao kukodsha chin ya masaa24

Natak lodge mtu akiigia saa 2 usiku hadi kesho saa usiku
Asante...

Hili walione. Mimi nikiambiwa masaa 24 nauliza kabisa ni hadi mda fulani kesho?
 
Anhaa sawa. 😅
 
Kitanda kinapiga kelele sio?
 
Hebu toa elimu zaidi please
Wabongo asilimia kubwa tunalaumu bila kujua maana ya vitu.

Watu wengi wanalaumu mtu afikie lodge usifikie guest house bila kujua maana ya hivyo vyote viwili.

Sehemu kuwa Guest house hapahalalishi kuwa sehemu ya uchafu. Guest house hizi ni nyumba za wageni Kama maana yake ilivyo inatakiwa itoe hudumua ya kulala tu mgeni kafika kwenye mji anafikia guest house saa nne unatoka unaendelea na Safari yako au unaenda Kwa wenyeji wako Kama ulifika usiku. Mtu anataka guest house akae Kama hotelini masaa 24 hizo zina vibali vyake sio wanajipangia wenyewe.

Hii ndio maana ake wabongo wamegeuza guest house nyumba za ufuska. Na wanaona sahihi pawe pachafu .
 
Kuna maeneo huko 'Tanganyika', hiyo ndio lodge bora zaidi, ambayo wakazi wa eneo hilo wanaikubali kuwa iko kwenye hali nzuri.
Sio tu Tanganyika kaka, nenda Songwe - Kibaoni. Ndio sehemu nimeona kuna lodge za gharama lakini za hovyo sana. Nilishawahi kukaa kwenye lodge kubwa pale mjini 30,000 room kwa 25,000 llakini ukiingia ndani maji unawekewa kwenye jaba, yakiisha inabidi utoke kuomba ujaziwe maji. Yaani hata kuoga unaogopa, Tv geresha tu yaani kero kibao ila bei zao zimechangamka.
 
Duh hao wadau wanafanyanaje iyo sex adi hali inakuwa hivyo jmn duh iyo si vita sasa
 
Daaah toka nilale guest moja Dodoma zamani kidogo karibu na Nyerere square nikakuta kitanda kina nywele nywele za mawigi,mlango kitasa kibovu nimekoma kabisa kulala guest mpk leo

acha nitumie pesa kulala hotel ya Gharama
 
Naongeza namba 12.Unaoga maji hayatoki kwenye kishimo cha kutolea maji machafu,unaanza kutembea kwa kuchuchumia...
Aisee hii ilinitokea logde moja maeneo ya Nyegezi Mwanza.
Naoga maji hayaendi..makohozi,nywele,minyoo mikubwa kama mizizi na kila aina uchafu vikaanza kuibuka.

Ilibidi nisimame juu ya sink la choo ndo nioge..asubuhi ilipofika nduki bila kuaga.
 
Watanzania hatuwezi kuendesha biashara tuna waza ngono 24hrs na story za umbea mda wote tuna shida kubwa sana kwenye business administration kama nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ipo Kilosa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…