Wamiliki wa lodge kuweni serious

Mnazikumbuka lodge za enzi zile. Corridor chumba huku chumba huku vyoo na bafu uani.
Mchepuko akitaka kujisaidia lazima umpeleke usije ukaporwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo dada wa kusingiziwa kwann awape no zake hao wahudumu???
 
Unguja ni kesi nyingine, kama mfuko haujajaa hamna rangi utaacha kuona.

Trips za uanafunzi zilinifundisha jambo enzi hizo.
Wale jamaa wameridhika sana, wana uhakika hata wasipofanya kazi Tanzania bara tutawapa bajeti
 
Asante...

Hili walione. Mimi nikiambiwa masaa 24 nauliza kabisa ni hadi mda fulani kesho?
Unaandika Tarehe uliyokuja na Kuondoka Tarehe inayofuata, wakitaka ugomvi mwende Polisi tu
 
Huyo dada wa kusingiziwa kwann awape no zake hao wahudumu???



Amekuwa akiwapigia Simu mara Kwa mara wakati anapofanya booking ya chumba sababu huwa anatembelea eneo husika regularly kwa sababu zake za msingi.
 
Sasa guest na hotel toa ufafanuzi watu waelewee.
 
Hili la Neti kuchanika na kufungwa mafundo fundo lilinikuta kwenye lodge fulani Mbezi lousi pembeni mwa Kinyerezi Road.

Kulikuwa na Mbu wengi sana, nikajaribu kuweka neti ikakataa kuenea kutokana na ufupi wa kufungwa mafundo, halafu sikuwa na shuka, nililazimika kulala huku nimeguswa na neti mithilibya shuka.

Asubuhi palipokucha niliacha Waraka mezani wa kuwataka watatue hizo kero!
 
🤓hii kitu si masihara ndugu ni hatari sana kwa usalama na afya 😂
 
Hizo lodge la laki 1 kwa siku achana nazo ili uache malalamiko wenzio tunachukua kuanzia za mil 2
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwa masharti hayo itakubidi uwe unasafiri na nyumba yako au uachane na lodge uwe unafikia hotel zike za five star
Mimi binafsi hata nikute chooni kimba linaelea sina noma najali kile kilichonipeleka kwenyw hiyo gesti ya buku teni(maana gesti za bei chee ndo huwa ziko hivyo)
 
- Tatizo bei unazotaka kulipa, huwezi lipa 50, 000 ukakuta hiz shida hapo juu, guest za 15,000 hizo ndo sifa zake
Naunga mkono hoja
Kuna ki gesti bubu niliingiaga mwaka jana hapo Dar mitaa ya buguruni nilikuwa nimenunua malaya wale wa kutoka ule mkoa wenye majanga
Sasa yule malaya akadai tuchukue chumba humo tofauti na hapo hakubali kwenda kulala naye mbali (nahisi aliogopa mwili wangu mkubwa akahisi naweza kumtumia usiku kucha then nisimpe hela) ndio maana alikomaa tulale chumba cha hapo karibu ili ikitokea nikazingua awastue wanachama wenzie!
Niliingia nikalipia chumba ilikuwa buku tano tu fasta
Ile kuingia kitanda cha matofali kama sehemu ya kuoshea marehemu!
Mashuka na mito vimechakaa halafu vina madoa doa sehemu ya katikati na sehemu ya mchagoni
Halafu shuka zinanuka shahawa
Halafu chumba kizima hewa nzito ni mchanganyiko wa harufu za shahawa, sigara na nnya.!
Kitanda hakina kelele kabisa maana ni cha matofali sema ukilala kile kigodoro kinabonyea mpaka chini unagusa yale matofali utadhani umelalia ukuta au jiwe!
Ile neti waliyotundika imeshachanika upande halafu ina harufu kali isiyoeleweka
Usiku mzima tuligeuka chakula cha mbu na kunguni
Huko juu ya paa ni full kusikilizana yaani minyanduano ya vyumba vya jirani unasikiliza live full audio!
Mbaya zaidi choo ni public kama ujuavyo vyoo vya walevi (maana hapo pia pana bar inayouza mixa pombe kali na pombe mwitu
Yaani ile kuingia tu chooni nikapake vumbi la kongo nakutana na kimba linaelea juu ya sinki la choo.
Lakini pamoja na yote nilivumilia nikafanya kile kilichonipeleka nikamaliza nikasepa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…