Wamiliki wa lodge kuweni serious

Mkuu unawezaje hata kuingia humu? Kulikuwa hakuna sehem nyingine ya kulala? Hizi pesa za lodge ni vyema kulala sehem nzuri maana unaweza kubana na usifanyie la maana
Mkuu niliingia humo saa sita usiku baada ya kukosa options zote,nisingeweza kulala stand.
Bahati nzuri nilikuwa na shuka nilitandika nikalala,sikuoga,sikupiga mswaki,sikujisaidia,sikufanya chochote zaidi ya kulala.
 

- Tatizo bei unazotaka kulipa, huwezi lipa 50, 000 ukakuta hiz shida hapo juu, guest za 15,000 hizo ndo sifa zake
 
28. Kunguni kwenye kitanda
30. Neti imetoboka na imefungwangwa mafundo ya matundu au imeshonwa na ni chafu ukiigusa tu lazma upige chafya na upate mafua.
31. Shuka zina madoadoa, godoro lina madoadoa ya kutisha (nashauri epuka kufunua funua shuka kuona hali ya godoro, maana usingiz utatoweka) na limebonyea mno katikati hadi mbavu au mgongo unagusa chaga.
32. Taulo zina uvundo
 
Fursa hiyo jitose kwenye biashara ya Lodge nzuri.Jenga zako nzuri upige pesa
Badala ya kukaa unalaumu humu watu wenye lodge mbovu
 
Kuna kipindi nilikua na safari ikanibidi nipitie Dar nikalazimika kulala karibu na Shekilango ili niwahi mabasi ya asubuhi yanayoanzia Shekilango. My friend nilichukua Lodge pale Ubungo yani kwa nje na pale reception iko vzr sana kwa hyo nikaamini watakua na vyumba vizuri. Maweeeeeee nilichokutana nacho hata usingizi sikupata siku hyo. Huu upuuzi upo mikoa yote lkn Dar umezidi
 
Without the tantalizing aroma hujanipata, huwa niko radhi nilipe kuanzia 70k and above nilale hotel inayoeleweka, ulichosema kipo sana hata Dar kuna hotel kubwa zinamajina lakini unakutana na tatizo kijinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…