Wamiliki wa Mabasi Arusha: Serikali ni kama inataka kutuonea. Ituache tuendelee kupakia abiria nje ya stendi kuu

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Wajumbe wa chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania wamekutana na waandishi wa habari mjini Arusha ambapo wameiomba Serikali kufuta lile agizo la kwamba lazima wakapakie abiria kwenye stendi ya mabasi ya Arusha

Hawa wajumbe wanasema kuwa hiyo stendi ya Arusha ni mbovu na ya zamani na kwamba wanaomba waendelee kubakia kwenye vitu vyao vidogo vya kupakia abiria hadi hiyo stendi kubwa itakapokamilika

Soma Pia: RC Makala aagiza TARURA, TANROADS na Polisi kuondoa foleni Arusha, TARURA yatangaza kufuta 'stendi bubu'

Your browser is not able to display this video.
 
Arusha hakuna stand ya kushusha abiria waachwe hao wamiliki wapakie maeneo yao mpaka stand itakapokamilika..
 
Sahihi kabisa, Arusha hakuna stand Ile sio stand YA mabus ya mikoani bali ni stand ya boda boda.

Wafanye kama ilivyo Dar, kila kampuni iwe na sehemu yake ya kupakia wateja mpaka pale stand ya kueleweka itakapojengwa Na hata ikijengwa bado abiria wapakiwe kwenye hizo stand za makampuni ndipo waelekee huko kwenye stand kuu
 
Kwa nini serikali ya CCM inapenda sana kuwakusanya na kuwalundika watu pamoja bila sababu za msingi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…