Akili zake zote ziko makalioni, hajawahi kuwa na akili za problem solving, Shabiby aliwahi kushauri vizuri sana juu ya jambo hili lakini RCs wanaona mateso kwa abiria ni furaha kwaoCHALAMILA AKICHEZA SINGELI
Nachoka kabisa mjukuu wa mwandambo mie😊Sisi wa Mbagala Rangi tatu tunapenda Arusha mmetufikiria itakuwaje na Hali hatuna magari?
PM alisema sio lazima na ni kweli sio lazima.
Kama shida yenu ni Mapato wapeni control number wakalipe.
Mnajenga mamiradi ya kijinga na ya kukurupuka harafu mnalazimisha watu walale? Sio kazi ya serikali kufanya biashara
Sheria hizi hizi,kwa mfano mdogo tu daladala za kawaida zikishusha au kupakia abiria sehemu ambayo hamna kituo maalum kwanini zinapigwa faini?Sheria ipi mkuu?
Ni matakwa ya polisi! Ukimpa 5,000 hupigwi fainiSheria hizi hizi,kwa mfano mdogo tu daladala za kawaida zikishusha abiria nje ya kituo kwanini zinapigwa faini?
Samia ndiyo umeamua kuja kwa ID hii, ile ya zamani hautaitumia tena?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapa wamiliki na waendeshaji wa Kampuni za Mabasi makubwa ya Mikoani wiki moja kuhakikisha wanaanza kurejesha huduma zao katika Stendi ya Magufuli, isipokuwa kampuni 6 ambazo tayari zina vibali vya kushushia kati kati ya mji, ikiwa ni hatua ya Serikali kupunguza msongamano wa magari katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Chalamila amesema mabasi hayo yanapaswa kuanzia na kumalizia safari katika Kituo cha Magufuli, badala ya kuingia katikati ya jiji kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria.
Amesema wamiliki na waendeshaji wa mabasi hayo wanapaswa kutumia muda kuanzia sasa hadi Agosti 17, 2026 kuhakikisha magari yao yanaanza kutumia Stendi ya Magufuli, huku utekelezaji wa utaratibu huo ukianza rasmi baada ya tarehe hiyo.
Kwa mujibu wa Chalamila, abiria wanaofikishwa Stendi ya Magufuli wataendelea na safari zao kuelekea maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa ndani, ikiwemo mabasi ya mwendokasi, daladala, bajaji na pikipiki au 'shuttle' ambazo zitatolewa na kampuni za mabasi husika
Chalamila amesema hatua hiyo pia inalenga kulinda fursa za ajira na biashara kwa waendeshaji wa usafiri wa ndani, akisema mabasi makubwa yanapoingia katikati ya jiji yanaingilia shughuli zinazoweza kufanywa na wadau wengine katika mnyororo wa usafirishaji.
Hapo utakutaHizo kampuni sita,super feo ,selous,isikosekane wallah,😥
Bm sio wa DR kimei, umeingia chakaisipokuwa kampuni 6 ambazo tayari zina vibali vya kushushia kati kati ya mji, ikiwa ni hatua ya Serikali kupunguza msongamano wa magari katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
1. Ester luxury coach- Dr Mwigulu
2. ABOOD BUS- MBUNGE
3. SHABBY BUS - MBUNGE
4. BM COACH - Dr Kimei
Kakuingiza chaka sio huyo, mmiliki ni Brasto MakundiLeo ndio nimejua mmiliki wa BM
Benedict Makundi ( BM) hao huo uwezo! Kimei yumo ndani ya hiyo KampuniBm sio wa DR kimei, umeingia chaka
Mabasi si ya Chalamila, wakati umefika wamuachie huyo Chalamila aweke mabasi yake.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapa wamiliki na waendeshaji wa Kampuni za Mabasi makubwa ya Mikoani wiki moja kuhakikisha wanaanza kurejesha huduma zao katika Stendi ya Magufuli, isipokuwa kampuni 6 ambazo tayari zina vibali vya kushushia kati kati ya mji, ikiwa ni hatua ya Serikali kupunguza msongamano wa magari katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Chalamila amesema mabasi hayo yanapaswa kuanzia na kumalizia safari katika Kituo cha Magufuli, badala ya kuingia katikati ya jiji kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria.
Amesema wamiliki na waendeshaji wa mabasi hayo wanapaswa kutumia muda kuanzia sasa hadi Agosti 17, 2026 kuhakikisha magari yao yanaanza kutumia Stendi ya Magufuli, huku utekelezaji wa utaratibu huo ukianza rasmi baada ya tarehe hiyo.
Kwa mujibu wa Chalamila, abiria wanaofikishwa Stendi ya Magufuli wataendelea na safari zao kuelekea maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa ndani, ikiwemo mabasi ya mwendokasi, daladala, bajaji na pikipiki au 'shuttle' ambazo zitatolewa na kampuni za mabasi husika
Chalamila amesema hatua hiyo pia inalenga kulinda fursa za ajira na biashara kwa waendeshaji wa usafiri wa ndani, akisema mabasi makubwa yanapoingia katikati ya jiji yanaingilia shughuli zinazoweza kufanywa na wadau wengine katika mnyororo wa usafirishaji.
We jamaa. Nikiwa naenda Arusha nikapande basi mapinga na hizi hela hela za dar? Upo seriousNadhani kwa dar es laam kungekuwa na standi ya mabasi kila kanda
Mabasi ya kusini yaanze na kuishia kongowe huko.
Mabasi yanayopita Morogoro yaishie na kuanzia kibaha.
Mabasi ya kaskazini yaanzie na kuishi mapinga
Hata hiyo buku 5 utakayompa aimaanishi hajavunja sheria,ndio sawa na hao jamaa wa shekilango,wanavunja sheria kwa kushusha na kupakia nje ya terminalNi matakwa ya polisi! Ukimpa 5,000 hupigwi faini
Super feo mbunge mwenzao,ana ofisi kariakoo katikati.Hapo utakuta
KLM
ABC
Easter
Shabiby
Abood
Ongeza ingine hapo
Yule bia mbili tuImpossible mission .. Maana RC mwenyewe anauzika kwa bei chee