Wamiliki wa mabasi wapewa wiki moja kurejea stendi ya Magufuli

Wamiliki wa mabasi wapewa wiki moja kurejea stendi ya Magufuli

Wafahamu kwa majina wamiliki wakubwa tajwa wa mabasi ya usafiri wa masafa marefu nchini Tanzania kwa safari za ndani na pia za kuvuka mipaka:


View: https://m.youtube.com/watch?v=8SSejhPZieg

Abood,
Achimwene,
Makundi ,
Esther
Nkya,
Ngallo,
Tilisho,
Ally's star,
Fotunastus ,
Saratoga,
Njau ,
Katarama,
Kaizegere,
Super feo,
Ibra shayo ,
Kidilino,
Baraka classic,
Massawe extra classic,
Malessa,
Sawaya,
Nyehunge,
Inyasi,
Zakaria,
Ratco,
Nyagawa,
Tawaqal,
Kimaro,
Nacharo,
Dosantos,
Manning,
Satco,
Mremi,
Sonera,
Kivo,
Mberesero,
Mbepo,
N.k / Etc (listi ni ndefu)
 
TOP 10 MABASI BORA ZAIDI TANZANIA Kwa mwaka 2026

00:00 Intro
00:29 Malessa's Bus
01:03 Morgan Luxury Bus
01:44 Tilisho Safari's Bus
02:33 BM Coach Luxury Bus
03:16 Ally's Star Bus
04:03 Ratco Express
04:45 New Force Bus
05:27 Abood Bus Service
06:24 ABC Upper Class
07:15 Shabiby Line


View: https://m.youtube.com/watch?v=enNR9q3l1N8
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapa wamiliki na waendeshaji wa Kampuni za Mabasi makubwa ya Mikoani wiki moja kuhakikisha wanaanza kurejesha huduma zao katika Stendi ya Magufuli, isipokuwa kampuni 6 ambazo tayari zina vibali vya kushushia kati kati ya mji, ikiwa ni hatua ya Serikali kupunguza msongamano wa magari katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

Wadau watoa mawazo


View: https://m.youtube.com/watch?v=r-v5PND3UgI
 
29 October 2026
Ubungo Mbezi
Dar es Salaam

DC MSANDO AAMURU MADEREVA KUYAONDOA MABASI STENDI YA MAGUFULI DSM


View: https://m.youtube.com/watch?v=iG5lEXPo58g

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amewataka madereva kuondoa mabasi yao katika Stendi ya Magufuli jijini Dar es Salaam, akisema muda wa kuyahifadhi mabasi hayo ndani ya stendi hiyo umeisha.

DC Msando ametoa kauli hiyo leo Septemba 29, 2026 kutokana na mgomo wa madereva katika Stendi ya Magufuli na maeneo mengine nchini, unaohusishwa na kupinga mfumo mpya wa Jeshi la Polisi, Kitengo cha Usalama Barabarani, wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kwa madereva wanaokiuka sheria za barabarani.

Madereva hao wanapinga utaratibu huo wakidai kuwa baadhi ya makosa yanayoweza kusababisha kukatwa pointi, ikiwamo kutumia tairi mbovu au kuendesha gari lenye hitilafu, yanapaswa kumhusisha zaidi mmiliki au mwajiri wa gari kuliko dereva.
 
Back
Top Bottom