WaAfrika sisi ni wajanja wajanja tu. Wamiliki wa Mgodi wa Shanta (WaChaga) ambao wana sites zao Singida, Mbeya na kwingineko wamekuwa miungu watu. Hawa jamaa wametuajiri bila kufuata taratibu za kisheria kwa kotokuruhusu sisi wafanyakazi tuwe na wenza wetu mahali pa kazi lakini pia hawatoi gharama za kutusafirisha kwa mujibu wa sheria tunapokuwa tunakuja kwenye migodi husika kama Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini inavyotaka. Hivi siku za karibuni hawa waChaga wamekuwa wanasingizia wafanyakazi tuhuma mbaya na kuwafukuza kazi bila kufuata taratibu za kisheria. Yaani mtu leo unaweza ukaamka tu ukaambiwa ati unahusika na bisahara ya dhahabu na kufukuzwa kazi.
Huko Mbeya mfanyakazi mwenzetu ambaye anahusika na mfumo wa ICT alifukuzwa kazi kwa manyanyaso makubwa ati kwa kuhisiwa ni mwizi kwa kuhusika kwake na mfumo wa CCTV kamera. Katika mgodi niliopo mimi wa Singida wafanyakazi zaidi ya watano wamefukuzwa kwa kusingiziwa eti wanahujumu uchumi kwa ajili ya kujihuisha na wizi wa dhahabu. Mwezi wa pili Kiongozi wa walinzi Daniel Mwita aliwalazimisha wafanyakazi wenezetu watatu akiwemo George Yuhulula, Paulo Mackenzie na Happiness Salon kuacha kazi kwa sababu ati wasingekubli kuacha kazi wangepewa kesi ya uhujumu uchumi kwani Serikali pia ilikuwa ikiuangalia mgodi huo kwa makini kutokana na matukio ya wizi yanayofanywa na wafanyakazi kama wao. Wafanyakazi hao kutokana na woga wamenyamaza kimya na kutufanya tuoliobaki tuendelee kunyanyasika wakati pengine wangejitokeza kueleza ukweli kwenye vyombo vya habari wangeweza kupata haki zao na kutusaidia sisi wengine tuliobaki tusiendelee kunyanyaswa kama ambavyo tunafanyiwa hivi. Kila siku ni kutishiwa tishiwa tu.
Pamoja na hayo ya kusingiziwa wafanyakazi husika tumekuwa tukifungiwa ndani na kulazimishwa kukiri makosa ambayo hatujayafanya na kwa kuwa baadhi yetu hatujui taratibu za kisheria basi hulazimika kuacha kazi au kuendelea kula manyanyaso.
Wito ni kwa Serikali kumulika migodi hii ya Shanta kwani wamiliki kwa kuwa hawajawahi kupelekwa kwenye vyombo va kutenda haki basi wanatunyanyasa sana wafanyakazi kwa tuhuma za uwongo na kutuumiza kwa kufokewa fokewa kama enzi za utumwa eti kwa kuwa tu mmetuajiri na mnatulipa.