Wamiliki wa Migodi ya Shanta ni WaTanzania lakini wanayanyasaji sana

Shanta inamilikiwa na nini we jamaa?

Acha kupotosha watu. Kama hujui kitu kaa kimya.

Hao kina Honest ni wamiliki au waajiriwa kama wewe tu?

Shida wabongo ni wezi. Matokeo yake mmeshachukulia kuiba kazini ni sehemu ya maisha ya kazi.

Mleta uzi leta ushahidi kama unahakika
Huyu atajuaje mambo ya umiliki?
 
Tz mfumo wa ajira hasa sekta binafs umekaa hovyo sana ,,,,, ! Hakuna mikataba, hakuna kufata sheria, hakuna over time, full manyanyaso, na ukionekana kiherehere chap unapigwa chini na hakuna Chenye utawafanya,,,,, mbaya zaidi maboss huwa wanaweka machawa miongoni mwenu kama wafanyakazi ,,,, ushauri, jifanye mjinga komaa baada ya mda kajiajiri mwenyewe, usishindane na mwenye hela
 
Well said
 
Back
Top Bottom