Wamiliki Wa Shule Binafsi Hii Nimuhimu Sana Kuipitia

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,822
Reaction score
2,320
Habari za muda huu wana jf,
Natumaini ni wazima wa Afya njema na mko salama kabisa, Nitaenda moja kwa moja juu ya mada yangu

Ulimwengu unakua kwa kasi kubwa sana huku teknolojia ikiwa msitari wa mbele kabisa katika kuongoza ukuaji wa dunia.
sasa ni kitu gani kwa watu wa shule binafsi mnaweza kunufaika katika hili?

Kuna mifumo inatengenezwa ya mitandao ambapo unaweza kufanya kazi zako muhimu za kiofisi zikikuunganisha mmiliki wa shule pamoja na wazazi wa watoto ambao ndio wanafunzi wako.

Huu mfumo unaendeshwa kwa vitu vikubwa viwili, Desktop App Pamoja na Mobile App,
wazazi wanakuwa na mobile app katika simu zao ambapo wataweza kupata taarifa zozote kwa wakati wowote kutoka kwa walimu ikiwemo taarifa za matokeo, maarifa za ada na matangazo mbalimbali.

hii inasaidia kwa haraka sana katika kuwasiliana na wazazi wote kwa uhakika mkubwa na kwa uharaka zaidi,
wazazi watajisajiri katika app kwakutumia namba za wanafunzi wao za usajili katika shule, na utawala utathibitisha usajili wa wazazi husika.
kupitia mfumo huu shule itaweza kupanga matokeo kwa urahisi zaidi hata pamoja na kuyatuma kwa wazazi lakini na taarifa za uhakika baina ya wazazi na shule zitafika kwa urahisi kabisa.

shule wataweza kuendesha huu mfumo kwa kutumia vitu viwili desktop app pamoja na mobile app ila wazazi watakuwa na mobile app tu kwa upande wa android pamoja na iOS.

huu mfumo unatengenezwa na kufanyika hapa hapa nchini kwetu kwa viwango vya hali ya juu mno.
garama ni rafiki kabisa na zinazoendana kabisa na ubora wa bidhaa unayofanyiwa

kama mahali hapajaeleweka basi unaweza kuuliza hapa chini ama kwa biashara zaidi unaweza ukapiga simu namba 0714 56 79 29.
 
Watu wapo bize na kutafuta pesa. Groups za WhatsApp zinatosha
 
Nikushauri tu dogo wakati mwingine unapofanya digital marketing jitahidi uwe short na understandable na sio kutoka masimulizi kama ulivyoandika..Apo ujaelezea jina la product yako, mahali mlipo, kama program inarun je mpo kwenye shule ngapi au mpo kwenye demo, na je mna ofa yoyote kwa wateja wapya , Na kubwa kuliko vyote ni Nini tofauti yenu na wengine wenye products kama yenu...
 
Asante kwa ushauri
Product inapewa jina la shule yako
pia haiingiliani na shule zingine
Tunapatikana dar
hatupo katika demo sababu ni mfumo ambao umekwisha pitiwa na kuthibitika
utofauti wetu na product zingine nikwamba hatutumii template katika mwonekano mteja ataelezea aina ya mwonekana hata pia kuongeza baadhi ya functions anazozitaka ziwekwe pia mfumo wa shule moja hauingiliani wala kufanana na shule nyingine.
Hivyo kila product hufanyika kwa simu au computer tu.

Mfumo nirahisi sana katika kutumika na unawekwa wazi kufuata matakwa ya mteja

pia product zetu hazikuhitaji kujaza takwimu zako moja kwa moja kutoka kwenye server, bali utazijaza kupitia app ya simu au computer
pia kubwa zaidi hii mifumo haitumii website ni app moja kwa moja ndio inahusika.

Pia faida nyingine ni kwamba takwimu haziwezi kupotea wala kuharibika sababu zinakuwa zimehifadhiwa katika mtandao,

Ofa kubwa tuliyonayo nikwamba tutasimamia suala la kufundisha na kuelimisha mfumo namna ya kuutumia hadi pale mteja atakapokuwa kauelewa vyema zaidi

Pia niliweka midokezo tu sababu kila kitu hufanywa kwa namna mteja anavyohitaji na maswali mengi zaidi ndio yatafanya niweze kuelezea kwa upana zaidi

asante sana kwa maoni na ushauri ambapo hapajaeleweka unaweza kuniuliza tena
 
Pia Aina zozote za mobile application zinafanyika
 
Back
Top Bottom