Wamiliki wa Uwanja wa Taifa wagoma kuwasha taa, sasa mechi zote kuchezwa saa 10 jioni

Alaa! kumbe kuna mmiliki wa uwanja wa taifa. {uwanja wa taifa}? hili jina mbona halisanifu kabisa.
mh mimi niko mbali na dunia kweli!
Taratiiiiiibu wameanza
Baadae utasikia wamiliki wa uwanja wa taifa ni CCM(Chama Cha Mapinduzi)
Wanatujengea kitu fulani hivi ili baadae wakisema ni uwanja wa chama tunakuwa tumezoea
 
Alaa! kumbe kuna mmiliki wa uwanja wa taifa. {uwanja wa taifa}? hili jina mbona halisanifu kabisa.
mh mimi niko mbali na dunia kweli!
same to me bro!
Taratiiiiiibu wameanza
Baadae utasikia wamiliki wa uwanja wa taifa ni CCM(Chama Cha Mapinduzi)
Wanatujengea kitu fulani hivi ili baadae wakisema ni uwanja wa chama tunakuwa tumezoea
unacho kisema ni kweli mkuu uwanja ni wataifa how comes unakuwa na mmiliki?!
 
Mmiliki wa huo uwanja si anaitwa Serekali. Na huwa wanachua fedha kila mechi - Mgao wao unaitwa gharama za uwanja. Sasa si wawashe hizo taa si uwa zinalipiwa?
 
Siku mechi ikichezwa usiku tutarajie Taa kuzima mda wowote.
Tumieni huo Uwanja mda wowote ili kukabili changamoto ndogo ndogo
 
yaani yanga utafikiri watoto yatima!, hata updates tuu za game VS JKT zinakosekana?
 
Taratiiiiiibu wameanza
Baadae utasikia wamiliki wa uwanja wa taifa ni CCM(Chama Cha Mapinduzi)
Wanatujengea kitu fulani hivi ili baadae wakisema ni uwanja wa chama tunakuwa tumezoea
Kwani Unadhani Mmiliki Ni Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…