Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratiiiiiibu wameanzaAlaa! kumbe kuna mmiliki wa uwanja wa taifa. {uwanja wa taifa}? hili jina mbona halisanifu kabisa.
mh mimi niko mbali na dunia kweli!
Hivi mmiliki wa 'uwanja wa taifa' ndio nani?Mungu katupa jua,nchi masikini bado tuwashe taa uwanjani,mashabiki hata hawajai walau kufidishia gharama za umeme.Pongezi kwa serikali kwa hili.
same to me bro!Alaa! kumbe kuna mmiliki wa uwanja wa taifa. {uwanja wa taifa}? hili jina mbona halisanifu kabisa.
mh mimi niko mbali na dunia kweli!
unacho kisema ni kweli mkuu uwanja ni wataifa how comes unakuwa na mmiliki?!Taratiiiiiibu wameanza
Baadae utasikia wamiliki wa uwanja wa taifa ni CCM(Chama Cha Mapinduzi)
Wanatujengea kitu fulani hivi ili baadae wakisema ni uwanja wa chama tunakuwa tumezoea
Watakwambia wamejengewa na chama kile cha Uchina [emoji23] [emoji23] [emoji23]Taratiiiiiibu wameanza
Baadae utasikia wamiliki wa uwanja wa taifa ni CCM(Chama Cha Mapinduzi)
Wanatujengea kitu fulani hivi ili baadae wakisema ni uwanja wa chama tunakuwa tumezoea
Kwani Unadhani Mmiliki Ni Nani?Taratiiiiiibu wameanza
Baadae utasikia wamiliki wa uwanja wa taifa ni CCM(Chama Cha Mapinduzi)
Wanatujengea kitu fulani hivi ili baadae wakisema ni uwanja wa chama tunakuwa tumezoea