Wamiliki wa Uwanja wa Taifa wagoma kuwasha taa, sasa mechi zote kuchezwa saa 10 jioni

Wamiliki wa Uwanja wa Taifa wagoma kuwasha taa, sasa mechi zote kuchezwa saa 10 jioni

Hapo wanamuathiri mdhamini wa matangazo ya television sababu anahitaji kuonyesha zaidi ya mechi moja kwa siku, kulazimisha mechi zichezwe saa kumi ipo siku zitaingiliana muda mmoja zaidi ya mechi moja wanazohitaji wadhamini kuonyesha vilevile tukumbuke kuwa ligi ya Tanzania inacheza hata siku za katikati ya wiki hivyo zinaingiliana na muda wa kazi hivyo kupunguza mapato kwa vilabu vyetu vinavyotegemea mapato ya mlangoni kujiendesha
 
Hivi huwa kuna tofauti Kati ya nchi, serikali, wananchi na taifa Kwenye vichwa vya hawa viongozi wetu?
 
Mmmh!
1. Kuna "Mmiliki" halafu
2. Kuna "Uwanja wa Taifa"
But why???😵
 
Hivi uwanja wa taifa wa tanzania unamilikiwa na nanii????[emoji24][emoji24][emoji24] Alafu mtu unashangaa mbona kimichezo tz tupo nyumaa sanaa..
Screenshot_20181129-210412.jpeg
Screenshot_20181129-210401.jpeg
 
😂😂😂 ukute ni kitu ya mchina, maana wachina wanataka kuimiliki Africa
 
Haya karibu yanashabihiana na yale ya familia ya Mr Independence wa hapo Kenya na Uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta International
 
wacha turudi kwenye ujima maana science imetushinda.sasa najiuliza hizo taa zitakuwa urembo?hilo zuio ni la muda gani?

basi bora ziondolewe maana ukishangaa ya musa utayaona ya firauni.

mambo mengine yanatokea tanzania tu.
 
Back
Top Bottom