Jiwe la kudumu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 301
- 245
Hapo wanamuathiri mdhamini wa matangazo ya television sababu anahitaji kuonyesha zaidi ya mechi moja kwa siku, kulazimisha mechi zichezwe saa kumi ipo siku zitaingiliana muda mmoja zaidi ya mechi moja wanazohitaji wadhamini kuonyesha vilevile tukumbuke kuwa ligi ya Tanzania inacheza hata siku za katikati ya wiki hivyo zinaingiliana na muda wa kazi hivyo kupunguza mapato kwa vilabu vyetu vinavyotegemea mapato ya mlangoni kujiendesha