Jiwe la kudumu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 301
- 245
Hapo wanamuathiri mdhamini wa matangazo ya television sababu anahitaji kuonyesha zaidi ya mechi moja kwa siku, kulazimisha mechi zichezwe saa kumi ipo siku zitaingiliana muda mmoja zaidi ya mechi moja wanazohitaji wadhamini kuonyesha vilevile tukumbuke kuwa ligi ya Tanzania inacheza hata siku za katikati ya wiki hivyo zinaingiliana na muda wa kazi hivyo kupunguza mapato kwa vilabu vyetu vinavyotegemea mapato ya mlangoni kujiendesha
AiseeeeeTaratiiiiiibu wameanza
Baadae utasikia wamiliki wa uwanja wa taifa ni CCM(Chama Cha Mapinduzi)
Wanatujengea kitu fulani hivi ili baadae wakisema ni uwanja wa chama tunakuwa tumezoea
CCMHivi mmiliki wa 'uwanja wa taifa' ndio nani?
Dr Bashiru AllyHuyo mmiliki angewekwa hadharani tumjue kwa jina
3-0yaani yanga utafikiri watoto yatima!, hata updates tuu za game VS JKT zinakosekana?
Na uwanja ubasilishwe jina.....koro-showSiti ya mbele,
Huyo mmiliki ni Nani???
Au ni bwana korosho na roho yake ya korosho??
Hela za kulipa bill ya umeme hakuna hela zote zinazokusanywa zinaenda BOT.Hivi uwanja wa taifa wa tanzania unamilikiwa na nanii????[emoji24][emoji24][emoji24] Alafu mtu unashangaa mbona kimichezo tz tupo nyumaa sanaa..View attachment 950760View attachment 950762
Dr Bashiru Ally
yaani yanga utafikiri watoto yatima!, hata updates tuu za game VS JKT zinakosekana?
Dar Usafiri sio shida kihivyo muda wa Usiku.Usafiri ni shida asubuhi na jioni kuanzia mida ya saa kumi mpaka saa mbili hiviKwa Tanzania Mechi za usiku bado sio Rafiki ukizingatia miundo mbinu ya usafir
MchinaSiti ya mbele,
Huyo mmiliki ni Nani???
Au ni bwana korosho na roho yake ya korosho??