Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hivi mtu binafsi inaruhusiwa kumiliki uwanja kama ule wa Taifa? Ngoja nitafute kiwanja nitengeneze asset Kwa ajili ya wajukuu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mmiliki wa 'uwanja wa taifa' ndio nani?
Changamoto kubwa ni ile ya asiyetakiwa kuwa anaendelea kushunda ndani ya uwanja huo.Siku mechi ikichezwa usiku tutarajie Taa kuzima mda wowote.
Tumieni huo Uwanja mda wowote ili kukabili changamoto ndogo ndogo