Uchaguzi 2020 Wamiliki wa Vituo vya Television nchini, mtumieni Tundu Lissu kupata watazamaji wengi ndani na nje ya Nchi

Uchaguzi 2020 Wamiliki wa Vituo vya Television nchini, mtumieni Tundu Lissu kupata watazamaji wengi ndani na nje ya Nchi

Retina

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
1,039
Reaction score
1,163
Tundu Lissu alipohojiwa kwenye Hardtalk watazamaji zaidi ya milioni 80 duniani kote walimfuatilia na kutazama kipindi.

Kipindi cha dakika 45, kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV superbrand Kiki fanya mahojiano na Tundu Lissu wa CHADEMA,kimevunja record kwa kutazamwa na watazamaji wengi zaidi kuliko vyote ndani na nje ya Tanzania.

Tundu Lissu ni hazina ya nchi hii kwann asiwe Rais?
 
Tundu Lissu alipohojiwa kwenye Hardtalk watazamaji zaidi ya milioni 80 duniani kote walimfuatilia na kutazama kipind.
Kipindi cha dakika 45,kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV superbrand Kiki fanya mahojiano na Tundu Lissu wa CHADEMA,kimevunja record kwa KUTAZAMWA na watazamaji wengi zaidi kuliko vyote ndani na nje ya Tanzania.
Tundu Lissu ni hazina ya nchi hii kwann asiwe Rais?
Hii siyo tetesi , ni habari kamili
 
ITV na STAR Tv ndio kubwa nchini,.
Star ni ya KADA aliyetoswa, Diallo, hawezi mpa airtime LISSU.
 
Wakianza kufungiwa utawapia faini wewe??

tutibu kwanza kisababishi
 
Manina saiz msikalili maisha tumeichoka fisiemu na wanufaikaji wake mlio wachache na kusahau watz tulio wengi
Ccm ni chama kinachojali maslahi mapana ya taifa, msishabikie vyama vya kikanda kama Chadema.

Kuonyesha ccm tupo serious tutawaletea Dikteta John ili ainyooshe nchi.
 
Back
Top Bottom