Uchaguzi 2020 Wamiliki wa Vituo vya Television nchini, mtumieni Tundu Lissu kupata watazamaji wengi ndani na nje ya Nchi

Ccm ni chama kinachojali maslahi mapana ya taifa, msishabikie vyama vya kikanda kama Chadema.

Kuonyesha ccm tupo serious tutawaletea Dikteta John ili ainyooshe nchi.
Masilahi mnayaona ninyi ambao ni uzao wa ccm Ila wananchi wa kawaida hatuoni tambueni hilo na huo ndio ukweli
 
Jinsi maelfu ya wananchi wazalendo wanavyohudhuria mikutano ya dikteta uchwara ni ishara kwamba anakubalika na watu wengi sana.
 
Lissu the GREATEST!

Tundu Lissu alipohojiwa kwenye Hardtalk watazamaji zaidi ya milioni 80 duniani kote walimfuatilia na kutazama kipind.
Kipindi cha dakika 45,kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV superbrand Kiki fanya mahojiano na Tundu Lissu wa CHADEMA,kimevunja record kwa KUTAZAMWA na watazamaji wengi zaidi kuliko vyote ndani na nje ya Tanzania.
Tundu Lissu ni hazina ya nchi hii kwann asiwe Rais?
 
Jinsi maelfu ya wananchi wazalendo wanavyohudhuria mikutano ya dikteta uchwara ni ishara kwamba anakubalika na watu wengi sana.
Hata Mimi nauzuria sana Ila huwa naenda kusikiliza ahadi atoazo naona hakuna jipya sana naishia kupata kuona wasanii tu nakuburudika then naondoka na moja kichwani 28/10/2020 tutaelewana tu
 
Usipoteze muda na kura yako kuchagua ccm
 
Jinsi maelfu ya wananchi wazalendo wanavyohudhuria mikutano ya dikteta uchwara ni ishara kwamba anakubalika na watu wengi sana.
Ana Msafara wa magari 60.
Gari moja ina abiria 4
60 * 4 = 240 watu
Mikoa yote y Jiarani viongozi wa chama na serikali lazma waende inakuwa 500 watu.

Shule, vyuo na walimu wote wanakazimishwa kwenda= watu 2000.

Kila tawi la CCM wanatakiwa kupeleka watu 250, in total 1000.

Mwisho wa siku watu 7,000 wote unakuta ni waliosombwa na kulazimishwa tu kwenda.
 
Ana Msafara wa magari 60.
Gari moja ina abiria 4
60 * 4 = 240 watu
Mikoa yote y Jiarani viongozi wa chama na serikali lazma waende inakuwa 500 watu.

Shule, vyuo na walimu wote wanakazimishwa kwenda= watu 2000.

Mwisho wa siku watu 7,000 wote unakuta ni waliosombwa na kulazimishwa tu kwenda
Kwa hesabu yako hawafiki watu 7000
 
Tundu Lissu alipohojiwa kwenye Hardtalk watazamaji zaidi ya milioni 80 duniani kote walimfuatilia na kutazama kipind.
Kipindi cha dakika 45,kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV superbrand Kiki fanya mahojiano na Tundu Lissu wa CHADEMA,kimevunja record kwa KUTAZAMWA na watazamaji wengi zaidi kuliko vyote ndani na nje ya Tanzania.
Tundu Lissu ni hazina ya nchi hii kwann asiwe Rais?
Hahahah
Sasa mnatembea kwa magoti eeh...

Mlitukana mamba kabla ya kuvuka mto
 
Tundu Lissu alipohojiwa kwenye Hardtalk watazamaji zaidi ya milioni 80 duniani kote walimfuatilia na kutazama kipind.
Kipindi cha dakika 45,kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV superbrand Kiki fanya mahojiano na Tundu Lissu wa CHADEMA,kimevunja record kwa KUTAZAMWA na watazamaji wengi zaidi kuliko vyote ndani na nje ya Tanzania.
Tundu Lissu ni hazina ya nchi hii kwann asiwe Rais?
Tunaomba evidence bwana
 
Back
Top Bottom