Uchaguzi 2020 Wamiliki wa Vituo vya Television nchini, mtumieni Tundu Lissu kupata watazamaji wengi ndani na nje ya Nchi

Siwezi ichagua ccm mkuu mie naichagua lisu 2020 kura yangu imenitesa miaka 5 siwezi rudia kosa
Kwanini mgombea wa ccm hastahili kupewa tena kura zetu?

Sababu za kutompa kura zetu mgombea wa ccm ni hizi zifuatazo.

1. Mauaji ya raia wasio Na hatia,

2. Umeendesha nchi kikabila na kikanda,

3. Umeshiriki katika ufisadi wa kununua ndege nk kama sio kweli tupe mikataba ya ununuzi.

4. Umewatesa sana waliokukosoa mfano hai TUNDU LISU na MDUDE CHADEMA.
 
Ni yeye 2020 ajira ajira saiz watoa kwa makada wao tu ,unambiwa tumeni maombi mnatuma wanaochaguliwa ni makada wa ccm walio na kadi za chama chao kwa kupitia wenye viti kupiga simu wizara husika na kutaja namba za kadi ya chama ya muomba ajira tunataka lisu akiingia atumie mfumo alio utumia kikwete wizara iajiri kulingana na majina walionayo wizarani na kulingana na mwaka wa kuhitimu
 
Kwanini mgombea wa ccm hastahili kupewa tena kura zetu?

Sababu za kutompa kura zetu mgombea wa ccm ni hizi zifuatazo.

1. Mauaji ya raia wasio Na hatia,

2. Umeendesha nchi kikabila na kikanda,

3. Umeshiriki katika ufisadi wa kununua ndege nk kama sio kweli tupe mikataba ya ununuzi.

4. Umewatesa sana waliokukosoa mfano hai TUNDU LISU na MDUDE CHADEMA.
5. 7000 wanafunzi wa UDOM aliwafukuza,

6. alivunja nyumba za wachagga waliokuwa ubungo mpaka mbezi luuois.

Alikiri urais ni mzigo na mgumu, tumpumzishe .
 
Kwanini mgombea wa ccm hastahili kupewa tena kura zetu?

Sababu za kutompa kura zetu mgombea wa ccm ni hizi zifuatazo.

1. Mauaji ya raia wasio Na hatia,

2. Umeendesha nchi kikabila na kikanda,

3. Umeshiriki katika ufisadi wa kununua ndege nk kama sio kweli tupe mikataba ya ununuzi.

4. Umewatesa sana waliokukosoa mfano hai TUNDU LISU na MDUDE CHADEMA.
Utopolo
 
Tundu Lissu alipohojiwa kwenye Hardtalk watazamaji zaidi ya milioni 80 duniani kote walimfuatilia na kutazama kipind.
Kipindi cha dakika 45,kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV superbrand Kiki fanya mahojiano na Tundu Lissu wa CHADEMA,kimevunja record kwa KUTAZAMWA na watazamaji wengi zaidi kuliko vyote ndani na nje ya Tanzania.
Tundu Lissu ni hazina ya nchi hii kwann asiwe Rais?
Mtahangaika sana! Mpelekeni makumbusho ili watalii wawe wanaenda kumwangalia msaliti namba moja TZ mtatengeneza pesa nyingi sana wanasaccos badala ya kila mkimaliza mkutano kutembeza bakuli la omba omba.
 
Back
Top Bottom