Wamiliki wawili wa Ghorofa lililoporomoka na kuua watu 29 Kariakoo wamepelekwa Mahabusu, mmoja apata dhamana

Naomba kuuliza Kwa Wanasheria hapa, Kwa mfano Kwa hii kesi nimeona Washtakiwa wakipewa Haki ya Dhamana Kwa Bondi ya Millioni 5.

Hii inamaanisha Nini hasa!?
 
Yaleyale ya abunuwasi
 
wengine wanafanyaga kazi gani? miaka 38 ana gorofa kariakoo, wengine ndo kwanza wanahangaika na madalali kimbiji
Umri haumzui mtu kumuliki ukiwa na roho mbaya ndio unamalizkia kuwa mchawi kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…