Na ajabu anaweza singiziwa muumini mwenzio wa kiafrika ambae wanahisigi ana mambo ya kichawi/kishirikina kwamba ndio ameleta yale mauzauza ambayo kwa upande mwingine huko wanaita ni Miujiza yakitokea kwa uwakilishi wa rangi nyeupe!!Ikitokea malaika mweusi mwenye nguo nyeusi akatokea kanisani lazima watu wakimbie wakijua ni shetani. Ni fact hiyo
Maneno mengi ila ushahidi nilioomba ni 0.Siku nyingine usiwe unabisha mambo usiyo yajua.
Kwa ufupi na kwa faida ya wengine. Iko hivi, chain ni mlolongo wa walio pokea habari Fulani mpaka kufika kwa mtu wa mwanzo aliyepokea hiyo habari na huyo mtu wa mwanzo lazima awe amemuona aliyesema hiyo habari.
Wasomi baada ya kupokea habari na habari au Elimu hurithishwa vizazi baada ya vizazi, tofauti ni namna gani unaihifadhi hiyo Elimu au habari.
Wale wapokezi wote historia zao zimekusanywa na kuandika, endapo mpokezi akiwa hajulikani habari yako inapungua uzito wa kuwa ni ya kweli.
Shahidi zako nyingi mno.
Mfano labda ni kuulize swali, kipi kinachokufanya wewe uamini ya kuwa Isaac Newton aliwahi kuishi hapa duniani ? Je ulimuona je unayo chain inayofika mpaka kwa Isaac Newton ?
Hitimisho ni kuwa, laiti kama kanuni za uchambuzi wa Hadithi za Mtume zenu ngetumika katika dini au au kuhakiko historia basi hakuna kitabu hata kimoja kingekidhi sifa ya ukweli zaidi ya Qur'aan na Hadithi za Mtume pekee.
Ulaaniwe!Unajua hpa kila nikisoma hiki kipande akili yngu inarudi kwa waydad na raja Casablanca kumbe huwa tunapigwa na timu za Spain bila kujua
Japo mimi siyo mwanahistoria,lakini sijui kwanini mnabishana.Mkuu mbona unakichwa cha panzzi Cleopatra of Macedonia mtoto wa phillip II ndio dada yake na Alexander the great na huyo mwingine Cleopatra of ptolemaic Egypt
Ila j.mc hatoki mtuUlaaniwe!
Nikashangaa sana ukasema hakuna ushahidi.Maneno mengi ila ushahidi nilioomba ni 0.
ili tuyaamini maneno yako weka hapa huo ushahidi wa hizo chain ndani ya Bukhari.
Isaac Newton aliandika papers & articles na tunaweza kuzidate mpaka miaka yake.
Je hizo Hadith za huyo mtume zilizoandikwa miaka 230+ baadae zikisadiki uwepo wake zina uthibitisho wowote?
Again ... hicho ulichoweka ni maneno tupu yalioandikwa kwenye Bukhari miaka 230+ baada ya huyo mtume anayesadikika kuwepo.Nikashangaa sana ukasema hakuna ushahidi.
Twende taratibu nakiwekea chain ya kwanza, Kisha na wewe ulete chain ya habari za Isac Newton, na uzidate kama unavyosema. Habari za kina Isac Newton mnaziamini tu ila tukisema tuzihakiki hazikai katika mizani.
Naanzia hapa :
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ يُوسُفَ، قَالَ أَخْبَرَنَا مَالِكٌ، عَنْ عَبْدِ الرَّحْمَنِ بْنِ الْقَاسِمِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ، زَوْجِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَتْ خَرَجْنَا مَعَ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي بَعْضِ أَسْفَارِهِ، حَتَّى إِذَا كُنَّا بِالْبَيْدَاءِ ـ أَوْ بِذَاتِ الْجَيْشِ ـ انْقَطَعَ
Angalia hiyo Hadithi ipo katika sahihi Al Bukhari. Inasomeka hivi hiyo chain inaenda mpaka kwa Mtume.
"Ametuhadhia Abdullah Ibn Yusuf, amesema ametupa habari Maalik kutoka kwa Abdulrahman Ibn al Qaasim kutoka kwa baba yake, kutoka Aisha mke wa Mtume, amesema Tulitoka pamoja na Mtume ..."
Hii ndiyo chain ambayo tunaongelea sisi. Sasa wewe tuletee chain tu ya huyo Isac Newton wa juzi tu hapa kama unayo.
Nikashangaa sana ukasema hakuna ushahidi.
Twende taratibu nakiwekea chain ya kwanza, Kisha na wewe ulete chain ya habari za Isac Newton, na uzidate kama unavyosema. Habari za kina Isac Newton mnaziamini tu ila tukisema tuzihakiki hazikai katika mizani.
Naanzia hapa :
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ يُوسُفَ، قَالَ أَخْبَرَنَا مَالِكٌ، عَنْ عَبْدِ الرَّحْمَنِ بْنِ الْقَاسِمِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ، زَوْجِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَتْ خَرَجْنَا مَعَ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي بَعْضِ أَسْفَارِهِ، حَتَّى إِذَا كُنَّا بِالْبَيْدَاءِ ـ أَوْ بِذَاتِ الْجَيْشِ ـ انْقَطَعَ
Angalia hiyo Hadithi ipo katika sahihi Al Bukhari. Inasomeka hivi hiyo chain inaenda mpaka kwa Mtume.
"Ametuhadhia Abdullah Ibn Yusuf, amesema ametupa habari Maalik kutoka kwa Abdulrahman Ibn al Qaasim kutoka kwa baba yake, kutoka Aisha mke wa Mtume, amesema Tulitoka pamoja na Mtume ..."
Hii ndiyo chain ambayo tunaongelea sisi. Sasa wewe tuletee chain tu ya huyo Isac Newton wa juzi tu hapa kama unayo.
Yusufu kuja kua waziri MisriKizazi cha watu weusi wa Misri kilipotea vipi
Na je waarabu nchini Misri sio asili yao?
Naomba utuelimishe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nimecheka sana, kijana hapa lazima utakimbia hii mada.Again ... hicho ulichoweka ni maneno tupu yalioandikwa kwenye Bukhari miaka 230+ baada ya huyo mtume anayesadikika kuwepo.
Bukhari anaweza kuwa aliyatunga hayo maneno na akamtengeneza character fake na kumuita Muhamad.
Hiko kitabu chake kuandika 'alisema nani kutoka kwa nani,' sio ushahidi kuwa kweli huyo anayesemwa aliyasema hayo maneno.
Weka ushahidi kuwa kweli Aisha alisema hayo maneno.
Sio kuniwekea hapa maneno ya Bukhari anayedai yametoka kwa Aisha yaliyoandikwa miaka 230+ baadae.
Huyo Newton Ukienda Library za cambridge au Fitzwilliam Museum, au Trinity College au kwenye archives za Royal Society utakuta papers kibao alizoandika kwa mkono wake mwenyewe.View attachment 2595359
Hujaweka chain yoyote...hiko ulichoweka ni maandishi ya tu bukhari yaliyoandikwa miaka 230+ baada ya huyo mtume anayesadikika kufariki.Nimecheka sana, kijana hapa lazima utakimbia hii mada.
Vyakutunga vinafahamika kijana na Kuna namna ya kuvijua, kuwepo kitu maktaba haijalishi au haionyeshi ya kuwa hakijatungwa. Ndiyo maana tunataka chain. Chain ni kitu muhimu sana katika kufahamu ukweli wake.
Hata Bukhari ukienda maktaba utakuta vitabu vyake vingi sana, na tena Kuna chain ianyo anzia kwa Bukhari mpaka kufika kwa Mtume. Hili tutalijadili. Tumalize hilo kwanza.
Mimi nimekuwekea hiyo chain, Sasa ili wewe uwe mkweli, kosoa hiyo chain, huku Mimi nikisubiria unipe chain mpaka ifikie kwa Newton. Kama hakuna chain habari za newton zinaanzia hapo kuzitilia Mashaka.
Ukifikiri chain mkufu nini wa chuma ? Hiyo niliyoweka ni chain, na kila alitekuwepo katika hiyo chain lazima habari kumuhusu yeye ziwe zimeandikwa na ziwepo, ili alicho kinukuu kiwe kweli. Wanachuoni waliandika habari zao watu hao. Ukizia taka unaenda katika vitabu vya Tarajumu au Rijali, hivi ni vitabu vinavyo elezea habari za wapokezi wa Hadithi.Hujaweka chain yoyote...hiko ulichoweka ni maandishi ya tu bukhari yaliyoandikwa miaka 230+ baada ya huyo mtume anayesadikika kufariki.
Mjadala wa kielimu haujadikiwi hivi kijana kirahisi rahisi. Sasa uje ututhibitisbie ya kuwa hizo papers ni maandishi aliyo yaandika mwenyewe Newton. Nipo hapa nasubiri hilo.Hizo papers za Newton ni maandishi aliyoandika mwenyewe ambayo unaweza kuzidate mpaka kipindi alichoishi.
Naam walisema hayo, sababu walio nukuu waliwaona na wakadhibiti hizo habari. Jambo ambalo wewe na wenzako ukitunga habari lazima itakuwa na makosa na uongo wa wazi.Mimi nimeomba evidence kuwa kweli hao watu waliotajwa na Bukhari walisema hayo.
Hayo kijana ni maandishi yamenukuliwa. Kijana unakielewa unachokiandila ?Btw hii historia inayotunzwa kwa oral tradition sio reliable.
Ndiyo maana ukaandika kwamba sijaweka chain. Kwenye chain hujawaona walio karibu na mtume ambao wamewasimulia watu watu wakaandika hizo habari.Mimi nataka maandishi either ya Muhamad mwenyewe au watu wa karibu yake kipindi chake.
Tuwekee evedance za kimaandishi za Issa Toka kwa watu wa karibu yake. Na utuonyeshe kutokuwepo kwa maandishi ya Mtume Toka wakati wake.Haiwezekani Issa aliyekuja miaka 600 kabla yake akawa na evidence za kimaandishi halafu muhamad akakosa.
Safi kabisa, hapa ndiyo nilitaka uje nikuonyeshe namna ya Elimu hii ilivyo na miujiza.Hizo chain unazotaka hata mimi naweza kutunga na kuunga.
Mfano:
Alisema Riziwan aliyeambiwa na kikwete aliyeambiwa na mwinyi aliyemsikia Nyerere akisema "Watanzania wengi ni Majuha"
Asante ndugu, acha nisome hii Uzi nipngezee maarifa!🙏
Hapana bwana pole Tena,!? No, don't be!Pole mkuu kwa usumbufu
Naona hata uwezekano wa kuwa chotara upoNao wanajitesa tu Cleopatra alikuwa Mgiriki wa utawala wa Plotemy. Wao Wamisri wanakomaa nini sasa?
Hakuwa chotara. Cleopatra alikiwa mgiriki pure. Walipenda kuoana wenyewe kwa wenyewe wakati mwingine kaka na dadaNaona hata uwezekano wa kuwa chotara upo