Hujaweka chain yoyote...hiko ulichoweka ni maandishi ya tu bukhari yaliyoandikwa miaka 230+ baada ya huyo mtume anayesadikika kufariki.
Ukifikiri chain mkufu nini wa chuma ? Hiyo niliyoweka ni chain, na kila alitekuwepo katika hiyo chain lazima habari kumuhusu yeye ziwe zimeandikwa na ziwepo, ili alicho kinukuu kiwe kweli. Wanachuoni waliandika habari zao watu hao. Ukizia taka unaenda katika vitabu vya Tarajumu au Rijali, hivi ni vitabu vinavyo elezea habari za wapokezi wa Hadithi.
Sasa unaposema sijaweka chain na chain inaonekana, inathibitisha wazi hujui maana ya chain.
Hizo papers za Newton ni maandishi aliyoandika mwenyewe ambayo unaweza kuzidate mpaka kipindi alichoishi.
Mjadala wa kielimu haujadikiwi hivi kijana kirahisi rahisi. Sasa uje ututhibitisbie ya kuwa hizo papers ni maandishi aliyo yaandika mwenyewe Newton. Nipo hapa nasubiri hilo.
Sasa zidate mpaka kipindi alicho ishi.n
Mimi nimeomba evidence kuwa kweli hao watu waliotajwa na Bukhari walisema hayo.
Naam walisema hayo, sababu walio nukuu waliwaona na wakadhibiti hizo habari. Jambo ambalo wewe na wenzako ukitunga habari lazima itakuwa na makosa na uongo wa wazi.
Btw hii historia inayotunzwa kwa oral tradition sio reliable.
Hayo kijana ni maandishi yamenukuliwa. Kijana unakielewa unachokiandila ?
Mimi nataka maandishi either ya Muhamad mwenyewe au watu wa karibu yake kipindi chake.
Ndiyo maana ukaandika kwamba sijaweka chain. Kwenye chain hujawaona walio karibu na mtume ambao wamewasimulia watu watu wakaandika hizo habari.
Haiwezekani Issa aliyekuja miaka 600 kabla yake akawa na evidence za kimaandishi halafu muhamad akakosa.
Tuwekee evedance za kimaandishi za Issa Toka kwa watu wa karibu yake. Na utuonyeshe kutokuwepo kwa maandishi ya Mtume Toka wakati wake.
Hizo chain unazotaka hata mimi naweza kutunga na kuunga.
Mfano:
Alisema Riziwan aliyeambiwa na kikwete aliyeambiwa na mwinyi aliyemsikia Nyerere akisema "Watanzania wengi ni Majuha"
Safi kabisa, hapa ndiyo nilitaka uje nikuonyeshe namna ya Elimu hii ilivyo na miujiza.
Hapa nitakuuliza maswali yafuatayo :
1. Riziwani aliambiwa na kikwete wapi ? Je Riziwani anasifa ya ukweli ? Kikwete je anasifa ya ukweli kwamba ni muadilifu ?
2. Je wapo watu wengine wa kweli walio nukuu habari hiyo ? Yaani wa kweli kuwazidi hao kina Riziwani na Kikwete ?
3. Wewe unayesimulia hiyo habari, ukiipata wapi na ilikuwa lini ?
Ukijibu maswali hayo Kuna mengine yatakuja kuhusu hiyo chain uliyo iandika.