Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
AARON WAN-BISSAKA NA TRENT ALEXANDER-ARNOLD KILA MTU BORA KWA NAMNA YAKE ILA KUNA NAFASI YA MMOJA KUWA MKUBWA ZAIDI:
Aaron Wan-Bissaka ameacha maswali mengi akiangaliwa na Trent Alexander-Arnold,nini kinachomfanya beki wa pembeni (full back ) kuwa katika ubora wake !
Jamie Carragher akumbukwe aliwai kusema "amna mchezaji anakuwa anataka kuwa beki wa pembeni,ni winga,kiungo aliyefeli"
Aaron Wan-Bissaka ni mlinzi bora wa pembeni ila achangii katika kushambulia , miaka ya nyuma beki wa pembeni katika ligi kuu Uingereza ilikuwa unabidi udili na mipira mikubwa inayokuja katika nafasi (channels) za pembeni pamoja na kulinda mipira ya krosi kupigwa.
Mpira umebadilika siku izi beki wa pembeni unabidi utafute nafasi za kupokea mipira(spaces),kupiga grosi na kumshikilia winga ambaye ni mpinzani wako siku iyo.
Maswali mengi huvuma Arnold anauwezo wa kufunga na kutoa grosi,hajui kulinda lakini Trent anafanya ubora pale ambapo anabidi amkabili vizuri winga wake lakini Bissaka anampa muda mwingi wa kupumzika wakati wa kushambulia winga wake anayetakiwa kumkaba Bissaka.
Ripoti ya skauti kama inavyoandaliwa na Mshikaji Wangu Mmoja inadai kuwa Trent Alexander-Arnold amefanya baadhi ya mabeki wa pembeni kujifunza na kutokana na madhara yake.
Aaron -Bissaka anaweza akakua na akawa bora zaidi ya Trent kwa sababu zifuatazo anaweza kulinda anajua pa kujiposition kwa muda ikiwa wakati wa kushambulia na kulinda (position awareness),Bissaka hana kujiamini pekee wakati wa kujua kujiposition wakati wa final third!ilo la (position play) ya mchezaji inafanyiwa kazi na kocha na inachukua muda kuwa bora,siku moja Bissaka anaweza akawa anapambania namba ya kudumu timu ya taifa ya Uingereza ikiwa atajifunza na kukutana na kocha atakayenyanyua kujiamini kwake na position play.
Sent using Jamii Forums mobile app