Wan Bissaka na Trent Alexander Anold

Wan Bissaka na Trent Alexander Anold

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
AARON WAN-BISSAKA NA TRENT ALEXANDER-ARNOLD KILA MTU BORA KWA NAMNA YAKE ILA KUNA NAFASI YA MMOJA KUWA MKUBWA ZAIDI:

Aaron Wan-Bissaka ameacha maswali mengi akiangaliwa na Trent Alexander-Arnold,nini kinachomfanya beki wa pembeni (full back ) kuwa katika ubora wake !

Jamie Carragher akumbukwe aliwai kusema "amna mchezaji anakuwa anataka kuwa beki wa pembeni,ni winga,kiungo aliyefeli"

Aaron Wan-Bissaka ni mlinzi bora wa pembeni ila achangii katika kushambulia , miaka ya nyuma beki wa pembeni katika ligi kuu Uingereza ilikuwa unabidi udili na mipira mikubwa inayokuja katika nafasi (channels) za pembeni pamoja na kulinda mipira ya krosi kupigwa.

Mpira umebadilika siku izi beki wa pembeni unabidi utafute nafasi za kupokea mipira(spaces),kupiga grosi na kumshikilia winga ambaye ni mpinzani wako siku iyo.

Maswali mengi huvuma Arnold anauwezo wa kufunga na kutoa grosi,hajui kulinda lakini Trent anafanya ubora pale ambapo anabidi amkabili vizuri winga wake lakini Bissaka anampa muda mwingi wa kupumzika wakati wa kushambulia winga wake anayetakiwa kumkaba Bissaka.

Ripoti ya skauti kama inavyoandaliwa na Mshikaji Wangu Mmoja inadai kuwa Trent Alexander-Arnold amefanya baadhi ya mabeki wa pembeni kujifunza na kutokana na madhara yake.

Aaron -Bissaka anaweza akakua na akawa bora zaidi ya Trent kwa sababu zifuatazo anaweza kulinda anajua pa kujiposition kwa muda ikiwa wakati wa kushambulia na kulinda (position awareness),Bissaka hana kujiamini pekee wakati wa kujua kujiposition wakati wa final third!ilo la (position play) ya mchezaji inafanyiwa kazi na kocha na inachukua muda kuwa bora,siku moja Bissaka anaweza akawa anapambania namba ya kudumu timu ya taifa ya Uingereza ikiwa atajifunza na kukutana na kocha atakayenyanyua kujiamini kwake na position play.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna mnatuletea taarifa za wachezaji wa hovyo hovyo , Manchester United haina mchezaji wa kuweza kumjadili humu , ni matumizi mabovu ya jukwaa, timu haina potentiality ya kuchukua kombe lolote , kwenye ligi imefungwa mara sita , imetoa draw mara saba , imeshinda mara sita , what the fu-ck!!....
Timu haipishani na Newcastle au Sheffield , ni Bora kujadili mipango ya Man u kama legendary club, lakn kufanya uchambuzi wa wachezaji wake ambao hawapishani na wachezaji wa Watford ni ujuha...
 
Trent ni football genius kwa umri wake ule mdogo tayari ashakuwa legend.

Trent ni combination ya Beckham na Steven Gerrard kwa upigaji wa mipira hatari zaidi. Ogopa Sana beki anaeweza kuwa na uwezo wa kuusoma mchezo na kuidrive timu kutokea kwake. Coz ukiona Liverpool ikiwa hatari ni pindi ambapo Trent akiwa kwenye ubora wake.

Ana uwezo wa kubadilisha uwanja kwa kila pass moja ya mbali utafikiri Gerrard yumo ndani yake.

Akifika pembeni anapiga mpira unajikunja kama Beckham alivyokuwa anabend mipira yake.

Trent hata defense yake sio mbaya Bali ya kuridhisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamzungumzia Gerrard huyu huyu aliyecheza Liverpool bila kubeba EPL kwa miaka zaidi ya 15?!
Trent ni football genius kwa umri wake ule mdogo tayari ashakuwa legend.

Trent ni combination ya Beckham na Steven Gerrard kwa upigaji wa mipira hatari zaidi. Ogopa Sana beki anaeweza kuwa na uwezo wa kuusoma mchezo na kuidrive timu kutokea kwake. Coz ukiona Liverpool ikiwa hatari ni pindi ambapo Trent akiwa kwenye ubora wake.

Ana uwezo wa kubadilisha uwanja kwa kila pass moja ya mbali utafikiri Gerrard yumo ndani yake.

Akifika pembeni anapiga mpira unajikunja kama Beckham alivyokuwa anabend mipira yake.

Trent hata defense yake sio mbaya Bali ya kuridhisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AARON WAN-BISSAKA NA TRENT ALEXANDER-ARNOLD KILA MTU BORA KWA NAMNA YAKE ILA KUNA NAFASI YA MMOJA KUWA MKUBWA ZAIDI:

Aaron Wan-Bissaka ameacha maswali mengi akiangaliwa na Trent Alexander-Arnold,nini kinachomfanya beki wa pembeni (full back ) kuwa katika ubora wake !

Jamie Carragher akumbukwe aliwai kusema "amna mchezaji anakuwa anataka kuwa beki wa pembeni,ni winga,kiungo aliyefeli"

Aaron Wan-Bissaka ni mlinzi bora wa pembeni ila achangii katika kushambulia , miaka ya nyuma beki wa pembeni katika ligi kuu Uingereza ilikuwa unabidi udili na mipira mikubwa inayokuja katika nafasi (channels) za pembeni pamoja na kulinda mipira ya krosi kupigwa.

Mpira umebadilika siku izi beki wa pembeni unabidi utafute nafasi za kupokea mipira(spaces),kupiga grosi na kumshikilia winga ambaye ni mpinzani wako siku iyo.

Maswali mengi huvuma Arnold anauwezo wa kufunga na kutoa grosi,hajui kulinda lakini Trent anafanya ubora pale ambapo anabidi amkabili vizuri winga wake lakini Bissaka anampa muda mwingi wa kupumzika wakati wa kushambulia winga wake anayetakiwa kumkaba Bissaka.

Ripoti ya skauti kama inavyoandaliwa na Mshikaji Wangu Mmoja inadai kuwa Trent Alexander-Arnold amefanya baadhi ya mabeki wa pembeni kujifunza na kutokana na madhara yake.

Aaron -Bissaka anaweza akakua na akawa bora zaidi ya Trent kwa sababu zifuatazo anaweza kulinda anajua pa kujiposition kwa muda ikiwa wakati wa kushambulia na kulinda (position awareness),Bissaka hana kujiamini pekee wakati wa kujua kujiposition wakati wa final third!ilo la (position play) ya mchezaji inafanyiwa kazi na kocha na inachukua muda kuwa bora,siku moja Bissaka anaweza akawa anapambania namba ya kudumu timu ya taifa ya Uingereza ikiwa atajifunza na kukutana na kocha atakayenyanyua kujiamini kwake na position play.

Sent using Jamii Forums mobile app
wacha kumlinganisha TAA na vitu vya kijinga!
 
Wan Bissaka ni full back bora zaidi kwa sasa duniani, ukitaka kumtoa pale United andaa si chini ya £ 200M

Sent using Jamii Forums mobile app
unasema
IMG_20191108_073527.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom