Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Katiba ndio msingi wa taasisi yoyote na siyo nani kaipigania taasisi.
Kama ni hivyo mbona Magufuli huwa hazingatii katiba ya nchi, so na yeye anatakiwa kupumzishwa kwa kushindwa kuheshimu katiba ya nchi aliyoapa kwa Kutumia Biblia kwamba atailinda.
 
Ilikuwa political suicide kumpokea Membe ACT.
Hana madhara yeyote. Yote yanayofanyika hayawezi badili msimamo wa watanzania mwaka huu wa kuweka historia kuu ya kubadilisha uongozi wa nchi mwaka huu.

Wote wanajulikana na Membe wao kuwa ni mamluki na hawana madhara yeyote
 
Kama ni hivyo mbona Magufuli huwa hazingatii katiba ya nchi, so na yeye anatakiwa kupumzishwa kwa kushindwa kuheshimu katiba ya nchi aliyoapa kwa Kutumia Biblia kwamba atailinda.
Ninavyomfahamu huyo Adrian hana uwezo wa kuchambua sheria, hii barua wameandikiwa na mawakili wa CCM wakanunuliwa kwa milioni moja ili wasaini tu, hana uwezo huyo
Maalim na Zitto wamevunja Katiba au lah?
 
HAYA SASA NGOMA INOGILE. WANG'OKE HARAKA SAANA. WANASHINDA MITANDAONI NA KWENYE MAJUKWAA KUDAI UTAWALA WA KUFUATA KATIBA, KUMBE WAO WAVUNJIFU WA KATIBA NAMBA MOJA. WAONDOKE HARAKA SAANA.
Ccm mtatumia mbinu zote mwaka huu ila mjue tu watanzania wa mwaka huu sio wajinga. Yaaani hao mamluki wenu wameshafeli kabla ya kuanza na kwa taarifa ajenda ya watanzania mwaka huu ni ile ile tu, kuwaondoa CCM madarakani.

Tumieni silaha zenu zote ila jueni tu watanzania tumeshaamua Tundu Antiphas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 na Maalim Seif ndo Raisi wa Zanzibar 2020-2025
 
Hawa wanachama wanajitambua. Sio kama hawa wengine mazwazwa yanayopelekeshwa na kibaraka wa mabeberu yanayoshindwa kuhoji hata mambo madogo tu ambayo kila kukicha viongozi wao wanayaropoka kinyume na katiba ya chama chao na kinyume na katiba ya ncho.
Iga mfano wao na wewe ukosowe intarahamwe siyo kila siku mnaimba mapambio tu!
 
Maalim seif pamoja na ukubwa wake wote lakini katiba uwa asomi
Pale cafu ibara ya 117 alimwangusha na lipumba ( mpingo ) akachukua ushindi

huku nako ibara ya 13 iv inamwangusha
huyu kweli ni babu tandu
Anapuyanga tu bila kusoma katiba ya taasisi anayoiongoza[emoji16]
 
Hao ni WanaCCM wajinga wajinga ACTwazalendo ina wenyewe
Ni wana Ccm waliopandikizwa ACT ili kuleta mgogoro baada ya hali ya Ccm kuwa mbaya. Uzuri ni kuwa Watanzania wa mwaka huu hatudanganyiki kwenye mbinu zao ovu
 
Ni wana Ccm waliopandikizwa ACT ili kuleta mgogoro baada ya hali ya Ccm kuwa mbaya. Uzuri ni kuwa Watanzania wa mwaka huu hatudanganyiki kwenye mbinu zao ovu
Watanzania hatuwezi kuendeshwa kama gari la Mkaa.
 
Tundu Lissuuu wapelekeee......(malizia)
Wapelekee kikamandaaa....(malizia)
Hivi alietunga huu wimbo ni nani? Apewe award yake.
Maana jamaa kachoresha gazeti kinoma noma, last term mtu alipiga mfano wa push ups, mchakamchaka wa antipas mtu kapiga magoti teh teh.
Mibomu, polisi wameshindwa kujizuia kama yule alimwambia Mbowe "ahumushindiii"
Hahaha Wapeleke kikamanda mchakamchaka.
 
Maalim seif pamoja na ukubwa wake wote lakini katiba uwa asomi
Pale cafu ibara ya 117 alimwangusha na lipumba ( mpingo ) akachukua ushindi

huku nako ibara ya 13 iv inamwangusha
huyu kweli ni babu tandu
Anapuyanga tu bila kusoma katiba ya taasisi anayoiongoza[emoji16]
Ccm mtatumia mbinu zote mwaka huu ila jueni tu hamtatutoa watanzania kwenye jambo letu muhimu mwaka huu. Ni kumtoa magufuli na Ccm yake madarakani tu!!
 
Namna gani pale, Membe anakosa bao la kusawazisha dakika 87 kwa offside.
 
Wapumbavu kweli

Wakati watu wanaunda chama wao walikuwa wapi?

Wapuuzi wakubwa Sana watu wamekipigania chama from the scratch leo mnaleta upuuzi wenu baada ya kununuliwa na CCM.
Yani unataka wanachama wa ACT nao wawe mabubu kama walivyo wanachadema kwa Mbowe?

Kama katiba za vyama tu mnazikanyaga hivi vipi mkipewa nchi?
 
Ccm mtatumia mbinu zote mwaka huu ila ujenzi tu watanzania wa mwaka huu sio wajinga. Yaaani hao mamluki wenu wameshafeli kabla ya kuanza na kwa taarifa ajenda ya watanzania mwaka huu ni ile ile tu, kuwaondoa CCM madarakani.

Tumieni silaha zenu zote ila jueni tu watanzania tumeshaamua Tundu Antiphas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 na Maalim Seif ndo Raisi wa Zanzibar 2020-2025
Mmeamua lakini kura hazitatosha
 
Tundu Lissuuu wapelekeee......(malizia)
Wapelekee kikamandaaa....(malizia)
Hivi alietunga huu wimbo ni nani? Apewe award yake.
Maana jamaa kachoresha gazeti kinoma noma, last term mtu alipiga mfano wa push ups, mchakamchaka wa antipas mtu kapiga magoti teh teh.
Mibomu, polisi wameshindwa kujizuia kama yule alimwambia Mbowe "ahumushindiii"
Hahaha Wapeleke kikamanda mchakamchaka.

Na yule aliyetunga wimbo wa "Mwamba Tuvushe" nimeuelewa. Kuna mgombea anajifanya mwamba kumbe kalegea huyo anakimbizwa mchaka mchaka. Mwamba OG ni Lissu pekee.
 
Ninavyomfahamu huyo Adrian hana uwezo wa kuchambua sheria, hii barua wameandikiwa na mawakili wa CCM wakanunuliwa kwa milioni moja ili wasaini tu, hana uwezo huyo
Yanayosemwa ni ya kweli au ya uwongo? Katiba ya ACT imevunjwa? Kazi kweli kweli yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ccm mtatumia mbinu zote mwaka huu ila jueni tu hamtatutoa watanzania kwenye jambo letu muhimu mwaka huu. Ni kumtoa magufuli na Ccm yake madarakani tu!!
Kusoma katiba ya taasisi yako unayoiongoza unashindwa alafu unataka upewe nchi inayoongozwa kwa mujibu wa katiba huu ni msiba mkubwa
 
Back
Top Bottom