Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kama ni hivyo mbona Magufuli huwa hazingatii katiba ya nchi, so na yeye anatakiwa kupumzishwa kwa kushindwa kuheshimu katiba ya nchi aliyoapa kwa Kutumia Biblia kwamba atailinda.Katiba ndio msingi wa taasisi yoyote na siyo nani kaipigania taasisi.