Usihofu nipo pedeshee tarehe 26 tuweke na booking ya chumba au unaonaje amu
Habari zenyu Bhanaaaaaaa..........!!!!!!!!!11
Wana CC na wana JF kwa Ujumla natafuta Partner wa kuwa nae kwenye White Partyyyyyyyyyy........!!!!!!!!!!!!!11
Yeyote anakaribishwa.
VIGEZO:
Mzuri kwa Sura,
Asiwe na Pesa za Kuungaunga, yaani ajikoki kama SMG,
Asiwe Bahili bahili,
Awe anajua nini maana ya kutumia Pesa,
Mwisho awe Smart kama Mimi.............
HAYA SASA UWANJA NI WENUUUUUUU...........!!!!!!!!!!
WANAUMEEEEEEEEEEE............
copy: FilipoHabari zenyu Bhanaaaaaaa..........!!!!!!!!!11
Wana CC na wana JF kwa Ujumla natafuta Partner wa kuwa nae kwenye White Partyyyyyyyyyy........!!!!!!!!!!!!!11
Yeyote anakaribishwa.
VIGEZO:
Mzuri kwa Sura,
Asiwe na Pesa za Kuungaunga, yaani ajikoki kama SMG,
Asiwe Bahili bahili,
Awe anajua nini maana ya kutumia Pesa,
Mwisho awe Smart kama Mimi.............
HAYA SASA UWANJA NI WENUUUUUUU...........!!!!!!!!!!
WANAUMEEEEEEEEEEE............
Ombi lako limekubaliwa! Just prepare your self!
we kweli mapepe si una miadi na caven dish wewe?Usihofu nipo pedeshee tarehe 26 tuweke na booking ya chumba au unaonaje amu
aaafu wewe!?