Nimtume amekuwa jini!!?
unaniuliza mimi tena?!?!?
Paloma mpenzi hajabakia mmoja? hata mie sina patina...
Afu kiwalo cheupe nacho nimekosa sijui itakuwaje..
Filipo ya kweli haya!!! mpaka utumie watu........?!?!?
Nimekutuma umekuwa jini wewe!?
Upelekwe jando maana ushabalehe sasa! Umeanza kuwatokea anti zako. Unatakiwa uwahiwe kabla hujaharibu mambo!
Namshangaa dogo huyu!? Nipo vizuri sana na sihitaji msaada!
Mbona brother umekua msariti sasa mwisho unajiharibia mwenye.
marejesho nakuomba ukuje huku umuone huyu anavyo hangaika. Ivi ana matatizo gan kwa wewe marejesho wata mbarow huyu anavamiavamia wake za watu. Haya Paloma achana na huyo Filipo atakusabishia matatizo ukiwa nae tu anaondoka na bahati zako zote anakuachia mikosi
Habari zenyu Bhanaaaaaaa..........!!!!!!!!!11
Wana CC na wana JF kwa Ujumla natafuta Partner wa kuwa nae kwenye White Partyyyyyyyyyy........!!!!!!!!!!!!!11
Yeyote anakaribishwa.
VIGEZO:
Mzuri kwa Sura,
Asiwe na Pesa za Kuungaunga, yaani ajikoki kama SMG,
Asiwe Bahili bahili,
Awe anajua nini maana ya kutumia Pesa,
Mwisho awe Smart kama Mimi.............
![]()
HAYA SASA UWANJA NI WENUUUUUUU...........!!!!!!!!!!
WANAUMEEEEEEEEEEE............
Uje kwangu pedejee
dogo! manoah jiangalie..............ohooooooooooooo