Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
ahahahaa.Sikujua kama wewe ndo mnoko hivo.Kikinuka nahamia kwako.
Unajua baba'ako Mwita Maranya tumepiga nae msingi!!?
Last edited by a moderator:
ahahahaa.Sikujua kama wewe ndo mnoko hivo.Kikinuka nahamia kwako.
Now you're talking!! Embu lete invoice ishughulikiwe!
afrodenzi niko hapa nyuma yako na lawyer wanguDuuuuu The Finest uko wapi ???
.
Same here .nami nimekumisi wangu..
Mie nina wazo kama tumekosa nguo nyeupe basi tutafute zile kanzu za wenzetu wale..au tuvae madera tu yapo mengi tandika..
Teh teh.Wazo zuri sana itabidi lifanyiwe kazi...Nadhani Paloma atakubaliana nalo
Soma pm zetu...Utakaa sana!!?
Soma pm zetu...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
marejesho wewe utachukua namba 3...wasemaje...Mwenzangu we acha tu.... Sijui ni mdudu gani kawaingia hawa waume zetu...... Naona anataka tufike 50........lol
of course he is YOUR man marejesho!
hicho ni exclamation phrase sijui niiite maana kanifurahisha! afu naskia eti wewe umemkataza asinitoe kuhusu white party! ndo mana sijatumiwa ticket ya daladala fastjet!
BTW....mume auma eeeenh....?!?!?!
I am happy to hear that my dear.. Sasa ni hivi Filipo hajitambui ... Lugha uliyotumia imemfanya aamini kwamba umemkubali.... Mie hata sijamnyima kukutumia ticket ila alitakiwa kuwa wazi kwako kwamba hali ya uchumi ni ngumu......January mwezi dume mpenzi....Ana majukumu balaa........
haaah mbona mnagawana namba wenyewe??!?!?!? basi mie namba 50!!!