Wana CC aliye tayari kuwa nami White Party anakaribishwaaaaaaaah!!

Wana CC aliye tayari kuwa nami White Party anakaribishwaaaaaaaah!!

amu; Habari ya leo! Usije ukanifanya nikaharibu mipango mingine kwa sababu yako mtoto wee! Natafakari upya!


Habari zenyu Bhanaaaaaaa..........!!!!!!!!!11
Wana CC na wana JF kwa Ujumla natafuta Partner wa kuwa nae kwenye White Partyyyyyyyyyy........!!!!!!!!!!!!!11
Yeyote anakaribishwa.

VIGEZO:
Mzuri kwa Sura,
Asiwe na Pesa za Kuungaunga, yaani ajikoki kama SMG,
Asiwe Bahili bahili,
Awe anajua nini maana ya kutumia Pesa,
Mwisho awe Smart kama Mimi.............
makeup-tips-for-black-women1.jpg


HAYA SASA UWANJA NI WENUUUUUUU...........!!!!!!!!!!
WANAUMEEEEEEEEEEE............
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuna nini kinaendelea hapa mbona kama kuna ugomvi....
Kwa mnaotaka vidosho na mahandsamu wa White Party...anza kutuma maombi kwa watu8.
 
ngoja nikishabakishiwa na amu namie ntakurushia mmoja! afu unajua amu yupo siriasi...........
mi nimezunguka dar yote nimekosa nguo nyeupe! so uamuzi utafanyika siku hiyo hiyo.....:shut-mouth:
nimekumiss we mdada acha kabisa...............
Same here .nami nimekumisi wangu..
Mie nina wazo kama tumekosa nguo nyeupe basi tutafute zile kanzu za wenzetu wale..au tuvae madera tu yapo mengi tandika..
 
Filipo kama una neno nami sema sio kunitaja tu humu mpendwa usiwe na kigugumizi kwani my husband Mentol ana neno kabisa nami anajua ni utani tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom