nna hakika kisu changu hakuna anayekifikia kwa makali,nilichopungukiwa ni ubahili wa pesa tu.....We kaa kushoto kwanza subiri wenye visu vinono wafaidi
Nimekupendaje!! Hujafilisika kama Bishanga wewe?trend inaonyesha mapedeshee wamekaukiwa kipindi hiki
nimekubali kukaa pembeni...Kitu kinene ni mbesa tu hiyo unayoringia mbona hata punda anayo tena ndefu na kali kushinda yako.
Kaa kushoto
Shost huna buzi lako unipe?kushare ruksa ujue
..ya nini tena?Subiri nikuweke kwenye shortlist
Mbemendo
Sitaki ya kike na sitaki ya kiume huwa zina mwisho tofauti.....Sitaki.....
..cjakusoma bado..Ujue kuna ushindani au unajiamini?
kheee, ulivyomshushua utadhani hiyo uliyoianzishia sredi pundadem hana..!! Anayo, tena inahimili urefu wa ile ya pundaman...Kitu kinene ni mbesa tu hiyo unayoringia mbona hata punda anayo tena ndefu na kali kushinda yako.
Kaa kushoto
..sijakusoma kabisaUjue kuna ushindani au unajiamini?
..unazidi kuniacha..Nimeshakubamba unajiona bonge la mjanja eee weka ile bwana ya kila siku inanoga hii haibambi
ujue haina ladha