Wana CC aliye tayari kuwa nami White Party anakaribishwaaaaaaaah!!

Wana CC aliye tayari kuwa nami White Party anakaribishwaaaaaaaah!!

unitueeeeeeeee nitue kabisaaaaa usinipake shombo la samaki kishanshuda kama wewe hujaitwaaaa kaaa pembeni kabla sijakushukia nyoooo mjaaluta wewee


Duhhh!!! best kuna shida gani, rafikiyo bado nakupenda ujue!!
 
Habari zenyu Bhanaaaaaaa..........!!!!!!!!!11
Wana CC na wana JF kwa Ujumla natafuta Partner wa kuwa nae kwenye White Partyyyyyyyyyy........!!!!!!!!!!!!!11
Yeyote anakaribishwa.

VIGEZO:
Mzuri kwa Sura,
Asiwe na Pesa za Kuungaunga, yaani ajikoki kama SMG,
Asiwe Bahili bahili,
Awe anajua nini maana ya kutumia Pesa,
Mwisho awe Smart kama Mimi.............
makeup-tips-for-black-women1.jpg


HAYA SASA UWANJA NI WENUUUUUUU...........!!!!!!!!!!
WANAUMEEEEEEEEEEE............

Nipo njiani naja kwako amu, aaaah nini tena dah! lapa langu limekatika ngoja nipitie kwa IGWE akanishonee naja
 
Last edited by a moderator:
best ujue watu hawajui hii cc na mie naja cheka sasa yeye kunijibu vile utafikiri tunashea bwana ndo nini?hilo ndo jibu lake

haya mpendwa wangu, uwe unawapotezea tu hawakuongezei au kupunguza kitu...tupo tunaokujali na kukupenda, mwaah!!
 
Back
Top Bottom