Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
unitueeeeeeeee nitue kabisaaaaa usinipake shombo la samaki kishanshuda kama wewe hujaitwaaaa kaaa pembeni kabla sijakushukia nyoooo mjaaluta wewee
Bishanga please usikose white party mengine tutaongea huko huko, tena hakikisha The secretary haji.
Habari zenyu Bhanaaaaaaa..........!!!!!!!!!11
Wana CC na wana JF kwa Ujumla natafuta Partner wa kuwa nae kwenye White Partyyyyyyyyyy........!!!!!!!!!!!!!11
Yeyote anakaribishwa.
VIGEZO:
Mzuri kwa Sura,
Asiwe na Pesa za Kuungaunga, yaani ajikoki kama SMG,
Asiwe Bahili bahili,
Awe anajua nini maana ya kutumia Pesa,
Mwisho awe Smart kama Mimi.............
HAYA SASA UWANJA NI WENUUUUUUU...........!!!!!!!!!!
WANAUMEEEEEEEEEEE............
best ujue watu hawajui hii cc na mie naja cheka sasa yeye kunijibu vile utafikiri tunashea bwana ndo nini?hilo ndo jibu lake
we kweli mapepe si una miadi na caven dish wewe?
hahahahaaaa....!!!. wewe MzunguMndali anakufaa!. mia mia mia!
Aaaa wapi huyo nimeshamuambia akae pembeni