Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Hao ndo NYUMBU sasa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na unapopiga mayowe kama mpinzani ili u achieve nini?WENYE Chama chao wameamua unapiga mayowe kama sio upunguani ni nini?Halafu kwa kumsaidia mpinzani mwenzangu ni kwmba Jiwe kipindi kile ilitoka form moja tu...hakuruhusu form zaidi ya moja maana mzee wa gusa ninuke alikuwa anataka kuchukua ashindane nae....kilichofanyika jana ni jambo lilelile ila kwa style nyingine....Hawa jamaa Wana mbinu nyingi sana kwny kufanikisha jambo lao....tutabaki kupiga mayowe humu ndani ila ndo hvyo jambo lishaisha🤣🤣🤣....
Na unapopiga mayowe kama mpinzani ili u achieve nini?WENYE Chama chao wameamua unapiga mayowe kama sio upunguani ni nini?
Ungetumia muda muda wako kuchagua kundi kwenye Chama chako ungekuwa umefanya la maana.
🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿Kama wewe siyo mwana CCM, NINI KINAKUUMA? Nilitarajia haya yasemwe na kuamuliwa na wana CCM wenyewe
Wana CCM walio kula rushwa DODOMA ni wakuwategemea hao kweli, wanao fanya maamuzi kwa mihemkoKama wewe siyo mwana CCM, NINI KINAKUUMA? Nilitarajia haya yasemwe na kuamuliwa na wana CCM wenyewe
Ulitaka mama ako achaguliwe ambaye ni chaumaMkutano mkuu siyo mara yake ya kwanza kufanyika ktk historia ya CCM ila UHUNI wa hivi haujawahi kutokea
Hao walioamua ndio wawakilishi wa hao wanachama wengine.Kimeporwa kutoka wapi?Uelewa wako wa mambo ni mdogo sana.Kwa hiyo Bunge likiamua jambo linakuwa limepora haki?Kwenye demokrasi kuna kitu kinaitwa representative democracy yaani demokrasia ya uwakilishi.Nilikuuliza swali ibara ipi ya katiba ya CCM imevunjwa?Hujajibu unabaki kulalama.Wenye chama akina nani wewe?. Huoni kuwa kimeporwa na kipo ktk mikono ya genge dogo tu.
Hii mada haihusu walamba posho, machawa na watafuta teuzi. Inahusu wakulima na wafanyakazi wenye chama chao.
SAHIHIWametumia mob psychology na group thinking, kushtukiza na kupenyeza ajenda yao.
Kwa hiyo umetumia itikadi gani kuukataa ushauri huu? Ya CCM - Ujamaa na kujitegemea?Kujibu mosi yako, nakubaliana na wewe kwamba ushauri hauna itikadi, LAKINI UJUWE kuukubali au kuukataa ushauri tikadi hutumika.
Wana CCM wepi hao walikaa kimya? Hao 2000+ waliokuwa Dodoma wakashitukizwa na maamuzi haya..?Kujibu ishu yako ya pili, narudia, kama wana CCM wanakaa kimya juu ya kilichotoikea huku wakikipigia makofi, ACHA WAFU WAZIKANE.
Na mashitaka hayo yako kwa wananchi taratibu...Unachoweza kufanya, kama taratibu zinaruhusu, KAWASHITAKI
Sema babaKwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii.
Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama.
Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama hilo la kupata mgombea wa nafasi za Urais wa JMT na ZNZ?.
Kwa nini mgeuke rubber stamp tu ya maamuzi ya genge dogo lililokwepa taratibu za chama zilizozoeka?
Hebu jiulizeni, huyo anayekwepa mchakato wa kawaida wa kugombea anaogopa nini, kawakosea nini wana CCM hadi aruke vikao vya maamuzi vya chama kama mwanga arukavyo kwenye ungo?.
Ndugu wana CCM, mkikubaliana na uhuni huu maanq yake mnatengeneza precedence ya UHUNI mkubwa zaidi kufanyika ndani ya chama.
Aliyewahi kuwa katibu mkuu mwenezi wa CCM bwana Polepole amewahi kusema kuwa ndani ya CCM kuna WAHUNI na bila shaka mmethibitisha wenye hili jambo kwa UHUNI usio na chembe ya haya wala aibu, kwa kuletewa mgombea kwa mlango wa nyuma bila ngazi tofauti za chama na taratibu zake kufuatwa.
Najua bado mna hyesteria ya mkutano, wengine posho zimewatia upofu, Pengine mastarehe ya muda mfupi yaendayo na mkutano bado mna hangover nayo. Lakini Jiulizeni hiki kilichofanyika ni sawasawa.
Hebu simameni sasa muanze kukataa uhuni huu wa watu wachache kupika mambo sirini halafu wanakuja kuwastukiza kama mmekamatwa ugoni vile.
Msikubali kuwa pawns au kete za kutumika tu katika hii chess ya mustakbali wa chama na nchi. Anzeni kuonyesha hisia zenu waziwazi.
Hii siyo CCM ya Nyerere, hii ni CCM ya kihuni.
Wanaoweza kukataa ni CHADEMA Tu, Vijana wa CCM pale kimewapeleka Njaa. HAKUNA mwenye uwezo wa kufanya kituKwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii.
Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama.
Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama hilo la kupata mgombea wa nafasi za Urais wa JMT na ZNZ?.
Kwa nini mgeuke rubber stamp tu ya maamuzi ya genge dogo lililokwepa taratibu za chama zilizozoeka?
Hebu jiulizeni, huyo anayekwepa mchakato wa kawaida wa kugombea anaogopa nini, kawakosea nini wana CCM hadi aruke vikao vya maamuzi vya chama kama mwanga arukavyo kwenye ungo?.
Ndugu wana CCM, mkikubaliana na uhuni huu maanq yake mnatengeneza precedence ya UHUNI mkubwa zaidi kufanyika ndani ya chama.
Aliyewahi kuwa katibu mkuu mwenezi wa CCM bwana Polepole amewahi kusema kuwa ndani ya CCM kuna WAHUNI na bila shaka mmethibitisha wenye hili jambo kwa UHUNI usio na chembe ya haya wala aibu, kwa kuletewa mgombea kwa mlango wa nyuma bila ngazi tofauti za chama na taratibu zake kufuatwa.
Najua bado mna hyesteria ya mkutano, wengine posho zimewatia upofu, Pengine mastarehe ya muda mfupi yaendayo na mkutano bado mna hangover nayo. Lakini Jiulizeni hiki kilichofanyika ni sawasawa.
Hebu simameni sasa muanze kukataa uhuni huu wa watu wachache kupika mambo sirini halafu wanakuja kuwastukiza kama mmekamatwa ugoni vile.
Msikubali kuwa pawns au kete za kutumika tu katika hii chess ya mustakbali wa chama na nchi. Anzeni kuonyesha hisia zenu waziwazi.
Hii siyo CCM ya Nyerere, hii ni CCM ya kihuni.
Naaaaaam Ndugu yangu MUNGU Fundi aiseeeeCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Katiba ya ccm inaeleza majukumu ya mkutano mkuu.Uhuni upi?Wapi kwenye ibara za Katiba ya CCM katiba hiyo imevunjwa?Unaongelea jambo usilolijua ili uonekane na wewe umechangia.Mkutano Mkuu wa CCM ndio chombo cha juu cha uamuzi.Na ndicho kilichoamua.Wewe usiyehusika na lolote kwenye uamuzi huo unapiga kelele pembeni ili iweje?
Hii ishu inaweza kumuondolea Samia credibility mbele ya wananchi na CCM yenyewe, maana imekaa kama anataka uongozi bila merits bali kwa "kuwezeshwa" huku taratibu xa chama zikinajisiwa.
Magufuli na ubandidu wake wote wa kisiasa hakuthubutu kufanya hivi kwenye uchaguzi wa 2020 Japo alikuwa na uwexo wa kufanya hivyo.
Hii move Itabackfire!
Elezea ibara iliyovunjwa kikatiba au kikanuni.Unaijua katiba ya CCM ya mwaka 1977?Katiba ya ccm inaeleza majukumu ya mkutano mkuu.
Kilichofanywa hakipo kikatiba wala kikanuni.
Kiufupi ni uhuni uliofanyika