ππ€©π₯°πna unampambania hebu kama yupo humu au anasoma habari za humu basi akufuate hata PM akwambie alipo maan sio kwa nyuzi hiz za kumuulizia mpaka nakuonea hurumaπͺ
ila Kennedy na vi imoj vyako dahπ π ,, mfano kama hivyo vinamaanisha niniππ€©π₯°π
ok.Suala la kutokunekana kwa aliyekua makamu wa Rais Emanuel Nchimbi na wana CCM kua kimya limefanya tuonekane kama mazuzu kwamba CCM ya watu wasiopungua watu 100 tuliobaki wote ni takataka ndani ya CCM chama chenye wanachama milioni 15 kinashindwa kushinikiza hawa watu 100 wa mwachilie Emanuel Nchimbi. CCM ya sasa imejaza machawa unakuta mtu mzima miaka 60 lakini ni chawa wa Mwenyekiti wa chama kutwa kucha ni kujikomba tu kwa Mwenyekiti hakuna mtu wa kutoka na kuhoji Huyu aliekua makamu wa Rais yuko wapi ? Wana CCM wote kimya kama mazuzu au kuku wa kisasa. Polepole alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha mtu aliekua Balozi kabisa na katibu mwenezi wa chama lakini CCM tunashindwa kutoka kwa nguvu moja na kudai Polepole sasa Balozi Emanuel Nchimbi yuko kizuizini lakini wana CCM tulivyo mazuzu tumeshindwa kutoka kwa umoja na kudai Emanuel Nchimbi hiii ni CCM ya aina gani? Kama makamu wa Rais anaweza kupotea kwenye mazingira ya kutatanisha na Wana CCM tukawa kimya kuna haja gani ya kua mwana CCM ambae misingi ya CCM ni kusema ukweli daima.
Hata Gentleman naye yuko kimya π !Suala la kutokunekana kwa aliyekua makamu wa Rais Emanuel Nchimbi na wana CCM kua kimya limefanya tuonekane kama mazuzu kwamba CCM ya watu wasiopungua watu 100 tuliobaki wote ni takataka ndani ya CCM chama chenye wanachama milioni 15 kinashindwa kushinikiza hawa watu 100 wa mwachilie Emanuel Nchimbi. CCM ya sasa imejaza machawa unakuta mtu mzima miaka 60 lakini ni chawa wa Mwenyekiti wa chama kutwa kucha ni kujikomba tu kwa Mwenyekiti hakuna mtu wa kutoka na kuhoji Huyu aliekua makamu wa Rais yuko wapi ? Wana CCM wote kimya kama mazuzu au kuku wa kisasa. Polepole alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha mtu aliekua Balozi kabisa na katibu mwenezi wa chama lakini CCM tunashindwa kutoka kwa nguvu moja na kudai Polepole sasa Balozi Emanuel Nchimbi yuko kizuizini lakini wana CCM tulivyo mazuzu tumeshindwa kutoka kwa umoja na kudai Emanuel Nchimbi hiii ni CCM ya aina gani? Kama makamu wa Rais anaweza kupotea kwenye mazingira ya kutatanisha na Wana CCM tukawa kimya kuna haja gani ya kua mwana CCM ambae misingi ya CCM ni kusema ukweli daima.
Mkuu Bazi, baz kaiza , huku ni kuwaonea bure wana CCM, wao waliishamalizana nae, sio mwanachama wao, ni mwananchi wa kawaida, kwanini CCM wamfuatilie?.Suala la kutokunekana kwa aliyekua makamu wa Rais Emanuel Nchimbi na wana CCM kua kimya limefanya tuonekane kama mazuzu CCM ya sasa imejaza machawa unakuta mtu mzima miaka 60 lakini ni chawa wa Mwenyekiti wa chama kutwa kucha ni kujikomba tu kwa Mwenyekiti hakuna mtu wa kutoka na kuhoji Huyu aliekua makamu wa Rais yuko wapi ? Wana CCM wote kimya kama mazuzu au kuku wa kisasa.
Kwakweli π !Mkuu Bazi, baz kaiza , huku ni kuwaonea bure wana CCM, wao waliishamalizana nae, sio mwanachama wao, ni mwananchi wa kawaida, kwanini CCM wamfuatilie?.
P
Mkuu Bazi, baz kaiza , huku ni kuwaonea bure wana CCM, wao waliishamalizana nae, sio mwanachama wao, ni mwananchi wa kawaida, kwanini CCM wamfuatilie?.
Watu wenye haki ya kumuulizia ambao sasa hawa ndio mazuzu ni wale Watanzania milioni 32 waliomchagua makamu wao wa rais, ndio wana hakikumuulizia alipo, wana haki ya kumuulizia sababu za kujiuzulu, wana haki ya kuiliza CCM, amefanya makosa gani hadi kufukuzwa CCM?.
Kwa vile hakuna anayemuulizia rasmi sasa hawa sio tuu ni mazuzu, pia ni mazwazwa! https://www.jamiiforums.com/threads...isi-watanzania-ni-mazwazwa-na-mazuzu.2473773/
P
Hamna tofauti na Ommy Dimpoz au Anko TSuala la kutokunekana kwa aliyekua makamu wa Rais Emanuel Nchimbi na wana CCM kua kimya limefanya tuonekane kama mazuzu kwamba CCM ya watu wasiopungua watu 100 tuliobaki wote ni takataka ndani ya CCM chama chenye wanachama milioni 15 kinashindwa kushinikiza hawa watu 100 wa mwachilie Emanuel Nchimbi. CCM ya sasa imejaza machawa unakuta mtu mzima miaka 60 lakini ni chawa wa Mwenyekiti wa chama kutwa kucha ni kujikomba tu kwa Mwenyekiti hakuna mtu wa kutoka na kuhoji Huyu aliekua makamu wa Rais yuko wapi ? Wana CCM wote kimya kama mazuzu au kuku wa kisasa. Polepole alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha mtu aliekua Balozi kabisa na katibu mwenezi wa chama lakini CCM tunashindwa kutoka kwa nguvu moja na kudai Polepole sasa Balozi Emanuel Nchimbi yuko kizuizini lakini wana CCM tulivyo mazuzu tumeshindwa kutoka kwa umoja na kudai Emanuel Nchimbi hiii ni CCM ya aina gani? Kama makamu wa Rais anaweza kupotea kwenye mazingira ya kutatanisha na Wana CCM tukawa kimya kuna haja gani ya kua mwana CCM ambae misingi ya CCM ni kusema ukweli daima.