toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Hapa hawezi kusema kitu wote wamekuwa ma toothless dogs....🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂, Yan kama Lukasi ndio kajificha mbozi ndani ndani huko...unafanya mchezo na ccm nini, CCM ni mashetaniii, as soon as wamemvua uanachama, wamemweka kampuni..Hata Gentleman naye yuko kimya 😁 !
Iko vile bandugu !