toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Hapa hawezi kusema kitu wote wamekuwa ma toothless dogs....π€£π€£π€£π€£π€£ππππ, Yan kama Lukasi ndio kajificha mbozi ndani ndani huko...unafanya mchezo na ccm nini, CCM ni mashetaniii, as soon as wamemvua uanachama, wamemweka kampuni..Hata Gentleman naye yuko kimya π !
Iko vile bandugu !
π³ππ !Kwenye kongamano juzi kati, kuna mtu alisema inawezekana hata CCM haina control ya nchi
Kumbe inawezekana kabisa siku moja mtu akakiogopa Kinyago alichoweza kichonga ?!Umemaliza kila kitu Makamu aliechaguliwa na watu anapotea kwenye mazingira ya kutatanisha na sisi mazuzu tuko kimya
kazi yake mungu kwa kisingizio cha imani ya kiisilamu kubadilisha jina kumuita mola kwa sasa ni wanadamu wa CCM tanzania.
Hii ya kusema mungu kapanga mbona mwaipopo anatamba na sheikh majini na majini yake kakimbiwa na mungu.
Hapa hawezi kusema kitu wote wamekuwa ma toothless dogs....π€£π€£π€£π€£π€£ππππ, Yan kama Lukasi ndio kajificha mbozi ndani ndani huko...unafanya mchezo na ccm nini, CCM ni mashetaniii, as soon as wamemvua uanachama, wamemweka kampuni..
Ni nomaImekua ni aibu