Wana CCM tusiwe makeyboard warriors: Tuingie mabarabarani kupinga kodi na tozo zisizohalali, kulalamika kwenye whatsapp group hakutasaidia

Serikali iliyopita ilitumia pesa vibaya nchi haina pesa lazma sisi wenyewe tufunge mkanda kujenga nchi yetu.
Mleta mada shauri tupate wapi pesa !? Vinginevyo funga domo nchi ijengwe.
Fisi ongeza sauti hujasikika wala kueleweka.
 
Kumbe hizi tozo zinawaathiri mpaka wana ccm? Mimi nilijua eti ni nyie ni special sana hamguswi kabisa na haya mambo
 
Ni kheri mwigulu ningemwacha afe pale mbeya mwaka 2015 wakati wa kampeni.
 
Nimeona juzi mtandaoni wanasema WB imeidhinisha mkopo mwingine $2.7b. Kama ni kweli,,na juzi hiyohiyo tumeambiwa deni la taifa limefikia 78t kutoka 60t aliloacha JPM.
Inasemekana JPM alikuta tunadaiwa 30t, ndani ya miaka mitano akaongeza 30t. Inamaana mama ndani ya miezi takribani mitano ameongeza 18t na hiyo ya juzi.

Wanaojua hesabu wanaweza tuambia deni letu kufika 2025 litakuwaje.
Je tutakuwa bado tunakopesheka?



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mi-5 tena kwa bimkubwa
 
Akiendelea na mwendo huu kwa miezi iliyobaki hadi 2025 atakopa 53.something + hizo 18 billion atavunja rekodi yaekukopa 71.something in total.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…