Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo yamefanywa/Yanafanywa na chama chetu Cha CCM. Tujivunie uwazi uliopo ndani ya chama chetu Cha CCM na mafanikio tuliyoyafikia, Kuna vyama toka 1992 mpaka Leo vimekuwa vikipokea fedha kutoka kwa wafadhri, Ruzuku na kuchangisha watu michango lakini bado Kuna giza nene juu ya matumizi ya fedha hzo wengine hata ofs hawana, kwahyo sisi Kama makada na walinzi wa Chama Cha Mapinduzi lazima tuwatahadharishe wananchi wasiingie mkenge tunashukru kuona umma unajua tayari, hz barabara, disp. Hosp za rufaa kila mkoa, CT scan kila mkoa, madaraja, Elimu bure, mikopo vyuo vikuu, vivuko, nk. Ni sera ya Chama Cha Mapinduzi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.