Wana CCM Tuwe na desturi ya kupitia post (Nyuzi) humu JamiiForums na kuzijibu kwa hoja

Umekusudia serikali ya Tanzania tokea ipate uhuru mpaka leo inategemea msaada wa mabeberu na kuiba hela ya umma.
Misaada ni chanzo cha mapato ya serikali na Hakuna serikali dunian hapa ambayo haina mikopo au haipati misaada.... misaada inasaidia kuwaongezea wananchi ahuweni ya maisha, mf. Ile hela ambayo tungejengea barabara tunaongeza kwenye ruzuku za mbolea, au tunaongeza mishahara ya watumishi au tunanunulia madawa hosp, au tunafadhiri tafit za kimaendeleo
 
Hapana mkuu katiba yetu ya Taifa inasema kila baada ya miaka mitano utafanyika uchaguzi kwahyo ikitokea chama X kimegomea uchaguzi vyama vilivyopo vitaendelea kwasabu CCM licha ya kuiheshim katiba ya chama chetu pia tunaiheshimu Sana katiba yetu ya Taifa. Asante
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mtu asiyejutambua tu ndio anaweza kwenda kupanga mstari siku ya kura kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Piga Kura kumchagua kiongozi wako Kama unaona hujaridhika vyombo vya haki vpo (mahakama)
 
Hapana mkuu katiba yetu ya Taifa inasema kila baada ya miaka mitano utafanyika uchaguzi kwahyo ikitokea chama X kimegomea uchaguzi vyama vilivyopo vitaendelea kwasabu CCM licha ya kuiheshim katiba ya chama chetu pia tunaiheshimu Sana katiba yetu ya Taifa. Asante

Natumaini wewe si mgeni hapa. JF
Hatahivyo nikutahadharishe tu, huyo unayejibishana naye si Mtanzania na sio Mwafrika.
 
Piga Kura kumchagua kiongozi wako Kama unaona hujaridhika vyombo vya haki vpo (mahakama)
Mahakama zipi, hizi zilizofunga wapinzani kwa maagizo ya yule mlevi wa madaraka? Kuna kesi ya covid 19 hapo mahakamani, ushahidi kila kitu kipo, lakini mwaka wa pili huu ni upuuzi tu unaendelea huko mahakamani bila hukumu kutolewa.

Kenya hapo kulikuwa na kesi ya matokeo ya urais wa nchi nzima. Kesi imeisha muda mrefu. Hapa ni kipi kinaendelea kwenye mahakama zetu kuhusu kesi ya covid 19? Ni wendawazimu kwenda kwenye hizi mahakama zetu zinazoongozwa na makada wa CCM ukitegemea kupata haki.
 
Hiyo ishu ya covid 19 kesi baso ipo mahakamani kwahyo tusubiri hukumu ya mahakama
 
Mwaka wa pili huu kwa kesi ya wabunge, wakati ya urais hapo Kenya imeisha muda mrefu tu. Hizi ni mahakama au taasisi ya wahuni wa CCM kukomoa wapinzani huko mahakamani?
 
Ila hii kesi ukimsikiliza mdee Kuna kitu pale na viongozi wake wa chama anyway ngoja tuwe na subra
 
Sawa mkuu nilikuwa nampa uhalisia wa mambo
Ukuu ni wa Mola. lakini Ahsante.
Mpe Uhalisia usitetereke nae, yaani ni kama Dubwasha fulani hivi...kama Bot. Kila unapo mpa nafasi, yeye anaweka upotoshaji. Ni hilo tu.
 
KWANI TULIVYOKUBALIANA KATI YA CCM NA ANDAZI TUCHAGUE NINI VILE.
 
Tunachagua kwa kuangalia kipi kimefanywa/kinafanywa na chama husika, chama kinamiliki nini mpaka Sasa, kimewafanyia Nini wananchi, uwazi wa matumizi ya rasilimali fedha upoje? Tukipata hayo majibu ndo tunachagua Sasa....lakini majibu ya hayo yote yatakupelekea uchague CCM
 
KIPINDI NAKUA NA KUJIFUNZA SIASA KUNA BAADHI YA WANASIASA WA CCM NILITOKEWA KUKIPENDA SANA CHAMA HICHO LAKINI BAADA YA DHORUBA LA UBINAFSI, TAMAA NA UMAFIA KUINGIA CCM BASI NAKICHUKIA CHAMA HICHO MPAKA KESHO.
 
Tunachagua kwa kuangalia kipi kimefanywa/kinafanywa na chama husika, chama kinamiliki nini mpaka Sasa, kimewafanyia Nini wananchi, uwazi wa matumizi ya rasilimali fedha upoje? Tukipata hayo majibu ndo tunachagua Sasa....lakini majibu ya hayo yote yatakupelekea uchague CCM
Mkuu naona u green guard umeushiba moyoni hivyo endelea kuipambania nembo.
 
Hizo hela zikishatolewa Kuna ufatiliaji na ukaguzi wa Mara kwa Mara kuhakikisha zimetumika kihalali Kwenye shughuli zinazogusa maslahi ya umma wa Watanzania na adhabu Kali itatolewa na imekuwa inatolewa pale panapotokea ufujaji wa hela za umma.
Adhabu Gani imetolewa Kwa Mafisadi walio ripotiwa kwenye ripoti ya CAG?
Tusidanganyane ccm ni majambazi Kila Kona yanakula bila kunawa siku zote.
Hayana huruma Kwa watu maskini kazi Yao kubwa ni kula Kwa kwenda mbele
 
Adhabu zishaanza kutolewa pia na bunge lijalo litaijadili report ya CAG kwahyo tuwe na subra ili asionewe mtu kwenye hatua za kinidham haki itendeke
 
Back
Top Bottom