Misaada ni chanzo cha mapato ya serikali na Hakuna serikali dunian hapa ambayo haina mikopo au haipati misaada.... misaada inasaidia kuwaongezea wananchi ahuweni ya maisha, mf. Ile hela ambayo tungejengea barabara tunaongeza kwenye ruzuku za mbolea, au tunaongeza mishahara ya watumishi au tunanunulia madawa hosp, au tunafadhiri tafit za kimaendeleoUmekusudia serikali ya Tanzania tokea ipate uhuru mpaka leo inategemea msaada wa mabeberu na kuiba hela ya umma.
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mtu asiyejutambua tu ndio anaweza kwenda kupanga mstari siku ya kura kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.Hapana mkuu katiba yetu ya Taifa inasema kila baada ya miaka mitano utafanyika uchaguzi kwahyo ikitokea chama X kimegomea uchaguzi vyama vilivyopo vitaendelea kwasabu CCM licha ya kuiheshim katiba ya chama chetu pia tunaiheshimu Sana katiba yetu ya Taifa. Asante
Piga Kura kumchagua kiongozi wako Kama unaona hujaridhika vyombo vya haki vpo (mahakama)Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mtu asiyejutambua tu ndio anaweza kwenda kupanga mstari siku ya kura kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Hapana mkuu katiba yetu ya Taifa inasema kila baada ya miaka mitano utafanyika uchaguzi kwahyo ikitokea chama X kimegomea uchaguzi vyama vilivyopo vitaendelea kwasabu CCM licha ya kuiheshim katiba ya chama chetu pia tunaiheshimu Sana katiba yetu ya Taifa. Asante
Mahakama zipi, hizi zilizofunga wapinzani kwa maagizo ya yule mlevi wa madaraka? Kuna kesi ya covid 19 hapo mahakamani, ushahidi kila kitu kipo, lakini mwaka wa pili huu ni upuuzi tu unaendelea huko mahakamani bila hukumu kutolewa.Piga Kura kumchagua kiongozi wako Kama unaona hujaridhika vyombo vya haki vpo (mahakama)
Hiyo ishu ya covid 19 kesi baso ipo mahakamani kwahyo tusubiri hukumu ya mahakamaMahakama zipi, hizi zilizofunga wapinzani kwa maagizo ya yule mlevi wa madaraka? Kuna kesi ya covid 19 hapo mahakamani, ushahidi kila kitu kipo, lakini mwaka wa pili huu ni upuuzi tu unaendelea huko mahakamani bila hukumu kutolewa.
Kenya hapo kulikuwa na kesi ya matokeo ya urais wa nchi nzima. Kesi imeisha muda mrefu. Hapa ni kipi kinaendelea kwenye mahakama zetu kuhusu kesi ya covid 19? Ni wendawazimu kwenda kwenye hizi mahakama zetu zinazoongozwa na makada wa CCM ukitegemea kupata haki.
Mwaka wa pili huu kwa kesi ya wabunge, wakati ya urais hapo Kenya imeisha muda mrefu tu. Hizi ni mahakama au taasisi ya wahuni wa CCM kukomoa wapinzani huko mahakamani?Hiyo ishu ya covid 19 kesi baso ipo mahakamani kwahyo tusubiri hukumu ya mahakama
Ila hii kesi ukimsikiliza mdee Kuna kitu pale na viongozi wake wa chama anyway ngoja tuwe na subraMwaka wa pili huu kwa kesi ya wabunge, wakati ya urais hapo Kenya imeisha muda mrefu tu. Hizi ni mahakama au taasisi ya wahuni wa CCM kukomoa wapinzani huko mahakamani?
Ukuu ni wa Mola. lakini Ahsante.Sawa mkuu nilikuwa nampa uhalisia wa mambo
Kwani umeambiwa hakuna mwenye akili?[emoji3][emoji3][emoji3] lakini nimeuliza tuHaya CCM njooni tumjibu Tundu Lissu, je ni nani mwenye akili ya kumjibu kwa hoja, na sio matusi, kashfa na kejeli?
Tunachagua kwa kuangalia kipi kimefanywa/kinafanywa na chama husika, chama kinamiliki nini mpaka Sasa, kimewafanyia Nini wananchi, uwazi wa matumizi ya rasilimali fedha upoje? Tukipata hayo majibu ndo tunachagua Sasa....lakini majibu ya hayo yote yatakupelekea uchague CCMKWANI TULIVYOKUBALIANA KATI YA CCM NA ANDAZI TUCHAGUE NINI VILE.
Mkuu naona u green guard umeushiba moyoni hivyo endelea kuipambania nembo.Tunachagua kwa kuangalia kipi kimefanywa/kinafanywa na chama husika, chama kinamiliki nini mpaka Sasa, kimewafanyia Nini wananchi, uwazi wa matumizi ya rasilimali fedha upoje? Tukipata hayo majibu ndo tunachagua Sasa....lakini majibu ya hayo yote yatakupelekea uchague CCM
Adhabu Gani imetolewa Kwa Mafisadi walio ripotiwa kwenye ripoti ya CAG?Hizo hela zikishatolewa Kuna ufatiliaji na ukaguzi wa Mara kwa Mara kuhakikisha zimetumika kihalali Kwenye shughuli zinazogusa maslahi ya umma wa Watanzania na adhabu Kali itatolewa na imekuwa inatolewa pale panapotokea ufujaji wa hela za umma.
Adhabu zishaanza kutolewa pia na bunge lijalo litaijadili report ya CAG kwahyo tuwe na subra ili asionewe mtu kwenye hatua za kinidham haki itendekeAdhabu Gani imetolewa Kwa Mafisadi walio ripotiwa kwenye ripoti ya CAG?
Tusidanganyane ccm ni majambazi Kila Kona yanakula bila kunawa siku zote.
Hayana huruma Kwa watu maskini kazi Yao kubwa ni kula Kwa kwenda mbele