Wana CCM Tuwe na desturi ya kupitia post (Nyuzi) humu JamiiForums na kuzijibu kwa hoja

Wewe si ulikimbia jf , ile hela uliyokuwa unadai umelipwa ile ya posho ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
CCM ilitoa wapi hela za kufanya hayo yote?
 
Tutamjibu tu kwa hekima na busara CCM ni chama chenye haiba na kinawatu wa kila rika kwahyo matusi kwetu ni mwiko, tunatanguliza heshima na utu wa kila mtu
Tunajibu ku reflect na ku justify maslahi ya wana CCM wachache, au tunajibu kwa maslahi ya Watanzania wote bila kujalisha manufaa ya kichama?
 
[emoji7]
 
Mtaweza ,jua jf Facebook,Instagram, tweet, huku kuna watu wapo na akili sana,je nyie ccm mtaweza karibu
 
, Kuna vyama toka 1992 mpaka Leo vimekuwa vikipokea fedha kutoka kwa wafadhri, Ruzuku na kuchangisha watu michango lakini bado Kuna giza nene juu ya matumizi ya fedha hzo wengine hata ofs hawana,
Gusia chama chetu kilivyo shughulikia report ya CAG
 
Hizo hela zikishatolewa Kuna ufatiliaji na ukaguzi wa Mara kwa Mara kuhakikisha zimetumika kihalali Kwenye shughuli zinazogusa maslahi ya umma wa Watanzania na adhabu Kali itatolewa na imekuwa inatolewa pale panapotokea ufujaji wa hela za umma.
Sisi ni wageni nchi hii? Posho inaendaje kujenga zahanati? Kwa bajeti gani?
 
Tuwe wazalendo kwa Taifa na sio kwa vyama vya siasa.
Vyama vinapita, Taifa linaendelea.
 
Hizo hela zikishatolewa Kuna ufatiliaji na ukaguzi wa Mara kwa Mara kuhakikisha zimetumika kihalali Kwenye shughuli zinazogusa maslahi ya umma wa Watanzania na adhabu Kali itatolewa na imekuwa inatolewa pale panapotokea ufujaji wa hela za umma.
Tutajie mtu mmoja aliye pewa adhabu kali usemayo kwa sababu ya wizi wa pesa

Muongo mkubwa wewe
Danganya wajinga wajinga huko
 
Mnakera sasa nyie na manguo yenu kama Viwavi Jeshi.

Siasa za maneno zimeshapitwa na wakati, siasa ni vitendo.
Hebu tuambie wewe kama mwanachama wa chama tawala umelisaidiaje Taifa kutoka kwenye wimbi la umaskini.
Kwa kupiga madili
 
Hahahaha Magufuli wa kuwapitisha bila kupingwa hayupo tena enyi wana CCM. Demokrasia ndio hofu yenu kubwa sasa naona shindano imeanza kupenya vizuri. Na bado!
 
Mtajibu kwa matusi, dharau na kejeli? Au mtajibu hoja kwa hoja?
Je, hayo majibu mtapewa na nani ikiwa viongozi wenu tu hawana??
 
Hizo hela zikishatolewa Kuna ufatiliaji na ukaguzi wa Mara kwa Mara kuhakikisha zimetumika kihalali Kwenye shughuli zinazogusa maslahi ya umma wa Watanzania na adhabu Kali itatolewa na imekuwa inatolewa pale panapotokea ufujaji wa hela za umma.
Halafu watu wanapotosha zile sio posho tu, Bali ni gharama za upimaji ardhi nchi nzima , watapima maeneo ya wananchi , na zile pesa zita zalisha pesa nyingine , ardhi ikiwhapimwa Kuna Kodi ya ardhi itapatikana , kwa kuwa ardhi kubwa itapimwa. ukiwa na nchi ambayo viwanja vyake vyote vimepimwa Hadi vijijini , Kodi kubwa itakusanywa na pato la kubwa litapatikana.
 
Yaani kama wewe ndo umetumwa basi hii kazi ni kubwa Sana kwako kamuite mwingine. Yaani fungu lipitishwe Kwa matumizi ya posho halafu kwenye implementation liende kuendesha kliniki?
 
Yaani kama wewe ndo umetumwa basi hii kazi ni kubwa Sana kwako kamuite mwingine. Yaani fungu lipitishwe Kwa matumizi ya posho halafu kwenye implementation liende kuendesha kliniki?
Nimetoa mfano kuwa Hilo fungu lazima litaambatana na mwongozo wa Matumizi yake, sjatumwa na mtu kamanda
 
Shukran
 
Wewe mwenyewe unapotosha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…